Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Labda, siumeona alivyotoka ndukiikazi gani hiyo ama ya ukulima wa watoto??
![]()

Labda, siumeona alivyotoka ndukiikazi gani hiyo ama ya ukulima wa watoto??
![]()

Siku nzuri kwa kila mtu ni jumatano tuMimi siku ya Alhamisi na ijumaa huwa ni ya bahati kwangu kwa tarehe sijafuatilia
Wewe kweli askariUnaanza uchochezi??
Kupita maelezo.. Moja kati ya wasanii wa chache kumiliki album zao.. Zake 3, naught by nature 1, fid q, bob marley. Wengine nilikuwa nasklza nyimbo moja au collection ya nyimbo zao bora.Unamkubali mpaka unaumwa eeh
Na wewe umecheza mkuuHii gemu nailaani ilinipotezea sana muda wangu kipindi niko form 1![]()

Mwishowe mjichanganye mumuite Pistol bureeekumbe ulimuita bristol kama nilivyopendekeza? .. Safi sana dadake nasubiria sasa kualikwa rasmi kuja kumuona huyo anko
....Bristol ni jina zuri 
Niombee basiHhahahah, unahitaji maombezi
Ilikuwa mistake tuuHahahaha, yaani...alikuwa anadeal na wake za watu tu
Utamlaza nan akubali..Ni kweli mkuu!
Inamaana haina uhakika? ehHuwa inasadikika hivyo
Yah.. Wanaruka kimahesabuHata majengo mengi marefu hayana floor no 13
Ngoja tumsikilize mwenyewe, asijesema kasingiziwaUmeuliza jibu
Karibu, kasome page no 3Hodi waungwana wa makapuku ,naombeni mnipokee kapuku mwenzenu
Ana ana ana do iliniponzaga siku moja sikurudia kosa tena!!Kwani ulikuwa hujui ana-ana-ana-do???
Alikuwa badoKuna movie flan hivi 2pac aliact inaitwa JUICE kalikuwa kadogo kweli....japo sikupenda scene waliyompa![]()
Karibu sana, kapuku ktk chama letuHodi waungwana wa makapuku ,naombeni mnipokee kapuku mwenzenu
Naught by nature walitisha sana enzi zaoKupita maelezo.. Moja kati ya wasanii wa chache kumiliki album zao.. Zake 3, naught by nature 1, fid q, bob marley. Wengine nilikuwa nasklza nyimbo moja au collection ya nyimbo zao bora.