Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Hahahaha, sipati picha ulivyokua unahaha siku hiyo

Hahahaha, sipati picha ulivyokua unahaha siku hiyo

Ha kondoo wana hali mbaya maana utawachinja wewe badala ya kuwachunga!![]()
wenye hali mbaya nitawapa dawa ili wapone

Nani huyo?Ila wamempotezea mtanzani mmoja hivi
KF maana yake kapuku forum siyo?Pale ndio Kuna mwongozo wa KF
Here we go now.....!! kuna song waliimba lina hilo neno sijui ni Jamboree aaah sikumbukiHatari mnoo
Good boy!Vya kutafuta
Nambie kwanini huniaminiPadre
Ngoja udumbukie humo majini

MwagaaYako nmeipata aiseee...... naanza kumwaga sela zangu sawa???
YapKF maana yake kapuku forum siyo?
Kwani kusomea upadre ni kitu cha ajabu???Kuhusu unasema unasomea upadri![]()
Kazi kweli kweliWenger sijui lini atakuwa na akili timamu.. Kikosi gani sasa hiki
Sure.. Thats y tukaruhusiwa tuoe.Alimuona mke wa Huria muhiti anaoga sa sijui enzi hizo hakukuwa na mabati?!!...akamtamani akazini nae...na alikuwa ni mfalme kipenzi cha Mungu...sema alitubu badae. So unaweza kuta hata mapadre wanazini kama kawa hii miili sometimes hatuwezi kuicontrol hata uwe nani hapa Duniani...
CavanEehh... Hata aijamalza kupost tayar wamwahatupiwa.. Wenger kocha mpumbav zaid
Ni kweli mkuu..Inasemekana inasaidia Kuboost memory capacity Shem wa mie....wapeni watoto wenu Bamia na Mananasi kwa wingi.
Kikofia kwa mbwembwe hujamboCavan....
Arsenal imepigwa goal dk ya kwanza
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sijui mkuu......nawapa ukweli hawatakiWamekung'ang'ania hao, Kuna nini