Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Nikajua umenipatia Chokoleti

Nikajua umenipatia Chokoleti

Asante mkuu sacajoKaribu kapuku
J.tano sijafuatilia ngoja nione...sina uhakika nayoSiku nzuri kwa kila mtu ni jumatano tu
Me najua tunaonja chakula tu....Hakuna zaidi Ya hapoKwani vitu gani vinaonjwaga>??
Washa blututh nikutumieBado...![]()
Wamekung'ang'ania hao, Kuna niniHapana mkuu......me siwezi kula kondoo wa masista......Maana nimejipanga........na nitakuwa nafunga na kuomba
Na kweli unawakubali hao...yaani kila weekend ulikuwa unazipiga home nakumbukaKupita maelezo.. Moja kati ya wasanii wa chache kumiliki album zao.. Zake 3, naught by nature 1, fid q, bob marley. Wengine nilikuwa nasklza nyimbo moja au collection ya nyimbo zao bora.

Nimeusoma teyali ila bado sijaelewa kwa nini uliniambia niende page no 3Karibu, kasome page no 3
Anaonesha ni jinsi gani anakujaliNikajua umenipatia Chokoleti![]()
We si umeona sababu hiyo........ila kwa sasa utamuonea wapi mtu akiwa mtupu.......na hata maeneo tunayokaa ni tofautiAlimuona mke wa Huria muhiti anaoga sa sijui enzi hizo hakukuwa na mabati?!!...akamtamani akazini nae...na alikuwa ni mfalme kipenzi cha Mungu...sema alitubu badae. So unaweza kuta hata mapadre wanazini kama kawa hii miili sometimes hatuwezi kuicontrol hata uwe nani hapa Duniani...
Ndio nimecheza sana Super mario nilinunuliwa CD ya game mchanganyiko ikiwemo na S.mario....yaani mtu husomi ukilala unaota unaruka viunzi unapata hela kama S.marioNa wewe umecheza mkuu![]()
![]()
![]()




Anza keshoJ.tano sijafuatilia ngoja nione...sina uhakika nayo
Bongo nyoso bongo mtelezo...Nawaza hapa kwa sauti hakuona nchi zooote akaja bongoland![]()
MpembaNani mpemba au Malima
Yeah na alishaungama tayari na akasamehewa japo kuna sharti alipewa kama nakumbuka vizurIlikuwa mistake tuu
Nimeshatoa mkuuTunasubiri jibu lako
Pale ndio Kuna mwongozo wa KFNimeusoma teyali ila bado sijaelewa kwa nini uliniambia niende page no 3
Imejaa teleHahaha....una imani??