sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Kuonja nini tena mkuu???? Me padre mtarajiwaBaada ya kuonja au??
Kuonja nini tena mkuu???? Me padre mtarajiwaBaada ya kuonja au??
Vya kutafutaUnataka vya nin?
Yako nmeipata aiseee...... naanza kumwaga sela zangu sawa???Yangu umepata![]()
Hata dizimu wapoInaonyesha kuna mengi sana unayajua...hebu baelekeze kaka zako kwanza wapi wanapatikana hao watu
Ila wamempotezea mtanzani mmoja hiviOk lakini sio kwa vipengele kama fisikia mana huko naonaga ngozi nyeupe tu
Kwani vitu gani vinaonjwaga>??Kuonja nini tena mkuu???? Me padre mtarajiwa
Sio jibu hiloUmeuliza jibu
Alimuona mke wa Huria muhiti anaoga sa sijui enzi hizo hakukuwa na mabati?!!Huwez jua nini kilichompata
...akamtamani akazini nae...na alikuwa ni mfalme kipenzi cha Mungu...sema alitubu badae. So unaweza kuta hata mapadre wanazini kama kawa hii miili sometimes hatuwezi kuicontrol hata uwe nani hapa Duniani...Karibu kapukuHodi waungwana wa makapuku ,naombeni mnipokee kapuku mwenzenu
Nani mpemba au MalimaIla wamempotezea mtanzani mmoja hivi
Kweli kabisa mkuu.......lazima sheria izingatiweWewe kweli askari
Inasemekana inasaidia Kuboost memory capacity Shem wa mie....wapeni watoto wenu Bamia na Mananasi kwa wingi.Bamia zinahusikaje hapo shem lake? Em nipe nondo
Nawaza hapa kwa sauti hakuona nchi zooote akaja bongolandNdio. Alibadili uraia.



Tunasubiri jibu lakoSio jibu hilo
Mhhhhhhh![]()
![]()
kule siwezi kwenda mkuu......wanaweza wakaniondoa kwenye misingi ya imani buree




Kweli umenisingiziaaNgoja tumsikilize mwenyewe, asijesema kasingiziwa
Wabongo sifa. Siku hizi utasikia mwanaume wa DarHalafu wabongo kutwa kujisifia ooh mi sili sembe huyo Mzee wala Dona halijui
Yeah mke wa Mkuu wa Majeshi Huria akampeleka mbele ili auawe ajipatie mzigo kiulaini...daahHahahaha, yaani...alikuwa anadeal na wake za watu tu
Fuatilia sasa!Mimi siku ya Alhamisi na ijumaa huwa ni ya bahati kwangu kwa tarehe sijafuatilia