Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Good evening BitozMkhitaryan anaanza leo
![]()
![]()
![]()
...........
Good evening BitozMkhitaryan anaanza leo
![]()
![]()
![]()
...........
poyeeeeeTenx...Leo kazi ni moja tu, afe mbuzi, afe mmasai, City lazma afe
Sio kweli...leo lazma mchapweNa Manchester United ndo club inayoongoza kwa mashabiki wengi dunianiView attachment 397401
HahahaaaMkuu hajaigawa tu?
Apumzike kwa amani..1979 - Agostinho Neto anafariki.
Alikuwa ni Rais wa kwanza wa Angola.
Hongera zao!!Leo ni siku ya walimu nchini China.

Asante kwa history Mussolin5 a.k.a le Dictator....Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Manchester Derby, tukutane tena kesho.
Manchester is red.
Kwaherini...
Uchochezi...Man city Oyeeeeee![]()
Uswiss nomaa hii nchi aise2002 - Nchi ya Uswizi yajiunga na Umoja wa Mataifa.
I hope uliinjoiZa Jioni mwenyekiti....aisee niliangalia jana usiku ile documentary ya Operation "Wrath of God"duuuh waisrael ni nomaaa na Mossad wao walivyotumia technic ku revenge..ni hatari.
Missing you JJ my pachaPleasure ankali
Njoo basi unifute chozipoyeeeee
Umaarufu uchwara....waongeze kurasa ili na wengine wanaoupenda wote watoshe sasaBongo ni shida sana, kila mtu anataka aandikwe kwenye gazeti

Pesa sabuni ya roho...naona mondi hapo na zali ameng'ara balaa
Asante kwa magazeti japo nimechelewa kuyasoma leoView attachment 397257View attachment 397258View attachment 397259
Sina la ziada kutoka kwenye meza ya magazeti asubuhi ya Leo, naitwa Jimena Jimenes
Shukrani kwa wadhamini wetu ambao ni miezi 5 ya makapuku forum .
Nawatakia sabato njema na week end njema kwa ujumla
Hiyo sheria inahusika nimeipenda sanaHiyo sheria ya Mkemia kichunguza watoto itavunja ndoa
Utakufa dingi bichwa kubwa ,mama vichwa la chogo zen mtoto kichwa km goroli
![]()
![]()
![]()
............

Hakuna kitu kama hicho..Hakuna kubebwa.. Ile ni penalty sema tu ilikuwa soft mnoo. Hukuona kama fonte kamshika jez giroud.