Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
2002 - Nchi ya Uswizi yajiunga na Umoja wa Mataifa.
Umoja ni nguvu
.......
2002 - Nchi ya Uswizi yajiunga na Umoja wa Mataifa.
1983 - Jeremy Toulalan anazaliwa.
Ni kiungo wa Malaga toka nchini Ufaransa.
1979 - Agostinho Neto anafariki.
Alikuwa ni Rais wa kwanza wa Angola.
Maarufu kwa uingereza ni cityLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Manchester Derby, tukutane tena kesho.
Manchester is red.
Kwaherini...
Haaaahaaaa bitoz buanaKm ww unayetumia jina la Lulu
![]()
![]()
![]()
..........
Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Manchester Derby, tukutane tena kesho.
Manchester is red.
Kwaherini...
Haters bhana!!!!!Maarufu kwa uingereza ni city
KaribuAhsante kwa magazeti
Haters bhana!!!!!
City umaarufu wao upo kwenye jili la Manchester
Uingereza(EPL) timu maarufu ni Manchester UnitedView attachment 397383
..........
G G M ULeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Manchester Derby, tukutane tena kesho.
Manchester is red.
Kwaherini...

HatersMaarufu kwa uingereza ni city
Itabidi achapwe vibokoHaters
Kwani si tunajali umaarufu wa ndani ya jiji au ubora wa timu?
Sasa niliposema timu maarufu EPL ni United inamaainisha dunia nzima sababu ndo ligi inayofuatiliwa zaidiNa kidunia pia mkuu
Na Manchester United ndo club inayoongoza kwa mashabiki wengi dunianiHaters bhana!!!!!
City umaarufu wao upo kwenye jili la Manchester
Uingereza(EPL) timu maarufu ni Manchester UnitedView attachment 397383
..........
Kwa kosa la uchocheziItabidi achapwe viboko
![]()
![]()
![]()
..........
FactSasa niliposema timu maarufu EPL ni United inamaainisha dunia nzima sababu ndo ligi inayofuatiliwa zaidi
Ushahidi upo vibanda umiza game za Manyau ndo zinajaza banda kuanzia mashabiki hadi haters tofauti na mechi za timu nyingine
Mfano:
United kutocheza Champions League ni pigo kwa vibanda umiza
Leicester + Spurs haziwezi kuwafutia watu
..............