Si unajua fitina za BongoNi vizuri sana kutambua ni mkulima, badala ya mchezaji
Mi mzima wa afya braza. Mishe vipi?Ni njema sana EMMYGUY habari ya wewe?
Asante Mkuu.Karibu sana kamanda
Iko njema sana braza.Nzuri kapuku, za weye
Asante kaka.Njema mkuu, krbu
Pamoja katibu wanguG G M U
Asante sana kwa historia bepari wetu
Manchester is red![]()
![]()
Anayebisha basi kipajiSasa niliposema timu maarufu EPL ni United inamaainisha dunia nzima sababu ndo ligi inayofuatiliwa zaidi
Ushahidi upo vibanda umiza game za Manyau ndo zinajaza banda kuanzia mashabiki hadi haters tofauti na mechi za timu nyingine
Mfano:
United kutocheza Champions League ni pigo kwa vibanda umiza
Leicester + Spurs haziwezi kuwafutia watu
..............
Umaarufu upi?Maarufu kwa uingereza ni city
Ya NdawaNduka![]()
Tenx...Leo kazi ni moja tu, afe mbuzi, afe mmasai, City lazma afeKaribu
Najiandaa kwenda kibanda umiza kuwahi sitiAnayebisha basi kipaji
Mimi nimeweka boya tayari!!Najiandaa kwenda kibanda umiza kuwahi siti
![]()
![]()
![]()
.........
Safi sana mkuuIko njema sana braza.