Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Ni hatari kwa mustakabali wa watu wasio waaminifu
........................
Ni hatari kwa mustakabali wa watu wasio waaminifu
Hata wewe bitoz Unaweza kuuziwa mtoto![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
........................
Bongo ni shida sana, kila mtu anataka aandikwe kwenye gazeti
Weka picha
Aunt naye ni majanga tu
Pamoja sanaPleasure ankali
Ahsante kwa magazetiView attachment 397257View attachment 397258View attachment 397259
Sina la ziada kutoka kwenye meza ya magazeti asubuhi ya Leo, naitwa Jimena Jimenes
Shukrani kwa wadhamini wetu ambao ni miezi 5 ya makapuku forum .
Nawatakia sabato njema na week end njema kwa ujumla
Km ww unayetumia jina la LuluBongo ni shida sana, kila mtu anataka aandikwe kwenye gazeti
mmhmweka hazina nipo
Leo katika Historia:
1960 - Katika michuano ya Olimpiki ya mwaka iliyofanyika Rome nchini Italy, Abebe Bikila anakuwa mwanamichezo wa kwanza kushinda medali ya dhahabu kutoka nchi za Jangwa la Sahara.
1974 - Guinea Bissau yajipatia Uhuru wake toka kwa Ureno.