Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ndio maana na muweza mimi tu, masharobaro wa kina Quigley chali.. Hawamuwwzi.. Tunawezana wenyewe na segere letu, tukilianzisha tumelianzisha hamna poo..
Uwiiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Habari zenu naomba mniwie radhi kapukuz wenzangu, leo nimeshindwa kuwaletea Old is ever Gold...ni kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu...ila nimefurahi Cobblepots kwa namna moja au nyingine alicover Oldies...kwa hivyo basi nitawaletea kesho ntafidia na leo. Asanteni nimewamiss na nawapenda wote [emoji4]. Weekend njema[emoji4][emoji4]
 
Thnx, tulikumc na tunakupenda pia..
 
Back
Top Bottom