makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,932
- 104,258
Fire mtakatifu carzola katustiri...
Mmebebwa kwa kupewa penalt ya bure.Tumebebwa aisee

Hakuna kubebwa.. Ile ni penalty sema tu ilikuwa soft mnoo. Hukuona kama fonte kamshika jez giroud.Mmebebwa kwa kupewa penalt ya bure.
Yani mmecheza mpira mbovu sana nyie Arsenal
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hatujabebwa, thats a penaltTumebebwa aisee
Kwa kuwa tumeshindaHatujabebwa, thats a penalt
Man city Oyeeeeee




Umeona eeh?Saana.. Mashetan wakishinda au arsenal ikifungwa tabu tupu.. Mtu hajakupigia simu wala tafadhali nipunguzie salio, mwaka wa 6, lakn man u wakishinda game kubwa simu zinaingia..
Nyambaf




Ujinyonge tuu
Za jioni bamutu ba kongo DRC?Weeeh tulia dokita afanye yake![]()

Good evening jirani...Mpaka Rio imemuumiza sana hii game

Nzuri jirani, za kuadimikaGood evening jirani...![]()
Za Jioni mwenyekiti....aisee niliangalia jana usiku ile documentary ya Operation "Wrath of God"duuuh waisrael ni nomaaa na Mossad wao walivyotumia technic ku revenge..ni hatari.Believe [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]