makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,947
- 104,289
Kuna matatzo ya kiufundi.. Ila pogba hajachemsha bhana.Leo kachemsha sana
Kuna matatzo ya kiufundi.. Ila pogba hajachemsha bhana.Leo kachemsha sana
Piga handicap hao
Maamuzi ya refa ndio ya mwisho![]()
![]()
![]()
![]()
Lakin ushabiki tuuweke pemben, man u walinyimwa penat ya wazi kabisa
....au basi poa game draw

Saana.. Mashetan wakishinda au arsenal ikifungwa tabu tupu.. Mtu hajakupigia simu wala tafadhali nipunguzie salio, mwaka wa 6, lakn man u wakishinda game kubwa simu zinaingia..
Nyambaf

Hahaa.. Haya bhana..Maamuzi ya refa ndio ya mwisho....au basi poa game draw
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio nashangaa Simba walimwachiaje!!!!!!Huyu tambwe, analijua sana goli..
Bongo mpira fitna nyingi... Unamuacha tambwe unanunua papa ndawNdio nashangaa Simba walimwachiaje!!!!!!
Angalia vizuri makaveli, siongelei ushabiki, angalia aina ya mpira aliokuwa anaucheza silver ndio nachosemaKuna matatzo ya kiufundi.. Ila pogba hajachemsha bhana.
Wanaoga magori tuNenden mkawaokoe west ham wanakufa huko.
Umeona hilo gori alilokosaWenger anataka kutukera sasa.. Huyu giroud sijui anamuingizia wa nin wakat perez mwili ulikuwa tayar ushapata joto anasaka goli lake.. Haaf anatoa ox badala ya wallcot
Unakuta mtu anasema simtaki tena sio kocha anatimuliwa.....hizi timu zingeuzwa tu maana hamna namna!!!Bongo mpira fitna nyingi... Unamuacha tambwe unanunua papa ndaw
Waishakula 4Wanaoga magori tu
Huyu mzee sijui kwanini anampenda huyu mtuUmeona hilo gori alilokosa
MkuuUnakuta mtu anasema simtaki tena sio kocha anatimuliwa.....hizi timu zingeuzwa tu maana hamna namna!!!
Kisa tu hana manufaa nae.. Hapati ten percentUnakuta mtu anasema simtaki tena sio kocha anatimuliwa.....hizi timu zingeuzwa tu maana hamna namna!!!
Tumebebwa aiseeHuyu mzee sijui kwanini anampenda huyu mtu