Combination kali sana
Alli ni kiboko aisee, Tyson anasubiriUmetazama video za Muhammad Alli ?
Jamaa alikuwa ni shida hasa kono lake la kushoto
.......
Zinakufa kwa sababu ya fitinaSiku hizi mchezo wa ngumi umeanza kufa....kuna ngumi lainilaini km za wanawake
![]()
![]()
![]()
..............
Karibu sana kamandaHabari ya jioni Makapuku wenzangu!
Nzuri kapuku, za weyeHabari ya jioni Makapuku wenzangu!
Hazard je?![]()
Player of the month
...................................
Mkamate
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

R.i.p shemejiI don't know if my Ex is still alive!!!
She used to tell me that she can't live without me![]()
Sasa miaka imepita, Any way kama kweli alidanja R.I.P.![]()
Nawe ulikuwa unapasha nin!!?Sweet Menthol...SM (Sigara)
Fundi modric.. Ananikumbusha1985 - Luca Modric anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Spurs kwasasa anakipiga Real Madrid na timu ya taifa ya Croatia.
Poa ulikuwa wapi??Habari zenu humu ndugu zangu!?
Hurrrey.. Makapuku..Leo ni Miezi Mitano toka Kapuku Forum ianzishwe.
Ambapo ndani ya miezi mitano hiyo Uzi huu umeshavuka malengo kwa kuvunja Historia ya kuwa uzi wa kwanza kufikisha 100K kwa muda mfupi tu.
Happy anniversary Kapuku Forum!!
Pia RedondoFundi modric.. Ananikumbusha
Pavel nedved na mendieta
Sorry ni BitozKawa msela tena
Uprofesa wa kuulazimisha huu.. Mwishowe wanakuwa machiziNikiskia huyo jamaa ni profesa huwa naona ni bora mie ambaye sijasoma asee, anatia kichefuchefu sana anaaibisha maprofesa wenzie
I don't know if my Ex is still alive!!!
She used to tell me that she can't live without me![]()
Sasa miaka imepita, Any way kama kweli alidanja R.I.P.![]()




changa la macho hilo papaa