Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tatizo la waafrika ni NJAA .....Wamezaliwa vijijini kwenye vibanda vya nyasi na tope hivyo akili zimejaa tope
Usishangae sana kwa mwafrika siasa ndo sehemu pekee rahisi kupiga dili na kupata umaarufu
Huyu bila shaka ni PROF WA PUMBA
Ndio maana wasomi wa kiafrika hawaheshimiki
...................
Wasomi wa Afrika hawaheshimiki wakiwa Afrika. Huko Ulaya na Marekani wanaheshimika sana tena sana tu.

Afrika kinachoheshimika ni pesa haijalishi umezipataje; na usomi wako hauna thamani kama hujatajirika. Ulaya na Marekani msomi/profesa anategemewa kufundisha na kufanya utafiti na jamii inamheshimu na kumuenzi kwa njia hiyo na kamwe hategemewi kuwa tajiri. Ndiyo maana si ajabu kumwona distinguished professor akienda kazini kwa baiskeli au kwa miguu. Hawajali na hakuna atakayemcheka na actually ndo anaheshimika zaidi.

Usilaumu wasomi wa Afrika bali laumu amali zetu zinazomtaka kila msomi awe tajiri badala ya kuupima usomi wake kwa kuangalia mchango wake kitaaluma, kimawazo na kijamii.
 
Maneno murua
Ndio maana nikasema wana njaa sababu wanachotafuta ni utajiri kwenye siasa ili wapige dili
..............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom