Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Silagi sembe...nakula ugali wa udaga na dona.
Wanasema eti usipokuepo kwenye pombe wala fegi lazima utakuepo kwenyePombe mimi sinywi, sigara sivuti kabisa


hivi ni kweli??Ni poa sana, niaje pande hizo?Habari za Ijumaa wakuu?
1991 - Tajikistan yajipatia Uhuru wake toka kwa USSR
Mar-habaaaaaa hujambo mtoto mbayaaaa
Salama kabisa...i hope uko poa kabisaNzuri jirani, za kwako
Asante kwa magazeti bibie, u hali gani?View attachment 396667View attachment 396668
Mpaka hapo sina la ziada
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa TGIF
Niite Jimena Jimenes
Adios
Wako vizur sanaLeo katika Historia:
1791 - Mji Mkuu wa Marekani wapewa jina la Washington D.C kwa heshima ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo George Washington.
Huyu bibi hafi nadhani2015 - Malkia Elizabeth anakuwa Kiongozi aliyetawala zaidi nchini Uingereza.
Ambapo mpaka sasa ameshatawala miaka 64 akiwa madarakani kama Malkia wa nchi hiyo pamoja na nchi nyinginezo kama vile, Canada, Australia, Wales, Scotland na Northern Ireland.
2015 - Malkia Elizabeth anakuwa Kiongozi aliyetawala zaidi nchini Uingereza.
Ambapo mpaka sasa ameshatawala miaka 64 akiwa madarakani kama Malkia wa nchi hiyo pamoja na nchi nyinginezo kama vile, Canada, Australia, Wales, Scotland na Northern Ireland.
Tatizo mnasikiliza sana propaganda za magharibiNchi katili sana hiyo na utawala wao
Niko poa kabisaSalama kabisa...i hope uko poa kabisa