Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wasomi wa Afrika hawaheshimiki wakiwa Afrika. Huko Ulaya na Marekani wanaheshimika sana tena sana tu.

Afrika kinachoheshimika ni pesa haijalishi umezipataje; na usomi wako hauna thamani kama hujatajirika. Ulaya na Marekani msomi/profesa anategemewa kufundisha na kufanya utafiti na jamii inamheshimu na kumuenzi kwa njia hiyo na kamwe hategemewi kuwa tajiri. Ndiyo maana si ajabu kumwona distinguished professor akienda kazini kwa baiskeli au kwa miguu. Hawajali na hakuna atakayemcheka na actually ndo anaheshimika zaidi.

Usilaumu wasomi wa Afrika bali laumu amali zetu zinazomtaka kila msomi awe tajiri badala ya kuupima usomi wake kwa kuangalia mchango wake kitaaluma, kimawazo na kijamii.
Point
 
Huyu jamaa alikua ni hatari sana yani mtu unagewa vitasa kama unapigwa na vitofa.. unaweza ukajikuta unamuomba msamaha aisee [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Tunammiss sana huyu jamaa siku hizi kina May weather wanakwepakwepa tu na kukimbia hovyo ulingoni afu unaskia eti kashinda
Umetazama video za Muhammad Alli ?
Jamaa alikuwa ni shida hasa kono lake la kushoto
.......
 
Namjua vizuri sana mohammad alli, huyu ni habari nyingine kabisa ni kama alikua na mikono ya chuma vile [emoji2][emoji2].. Sasa ukiacha era ya muhammad alli Mike Tyson ndo second version yake
Siku hizi mchezo wa ngumi umeanza kufa....kuna ngumi lainilaini km za wanawake
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
..............
 
Back
Top Bottom