Makapuku Forum

Makapuku Forum

Maneno murua
Ndio maana nikasema wana njaa sababu wanachotafuta ni utajiri kwenye siasa ili wapige dili
..............
Ungekuwa ni wewe ungefanyeje katika jamii hii inayoabudu mafisadi na wakati huo huo inachoma moto vibaka wanaokwapua simu na kuku?

Naamini kuna wasomi ambao kweli wana dhamira kabisa ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii lakini wanakumbana na mfumo kinzani na jamii isiyojali wanabwaga manyanga. Si wote wanakimbilia siasa kupiga madili!
 
Mimi nikipata ajira serikalini ni full rushwa,full uzembe"
Pesa ndo inaongea kitaani
Maisha yenyewe elimu tumeipata kwa kunyweshwa uji wa mahindi

........
 
Ungekuwa ni wewe ungefanyeje katika jamii hii inayoabudu mafisadi na wakati huo huo inachoma moto vibaka wanaokwapua simu na kuku?

Naamini kuna wasomi ambao kweli wana dhamira kabisa ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii lakini wanakumbana na mfumo kinzani na jamii isiyojali wanabwaga manyanga. Si wote wanakimbilia siasa kupiga madili!
Umeongea point kali sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom