briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Nikiskia huyo jamaa ni profesa huwa naona ni bora mie ambaye sijasoma asee, anatia kichefuchefu sana anaaibisha maprofesa wenzieProf liPUMBA anatafuta kick eti "sing'ang'anii nimeombwa"
Sasa km kaombwa halafu uongozi umemchunia zen kakomaa tu...je sio kung'ang'ania huko?
STUPIDITY
....................
