Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Mkongo mwngine yupo kwanye siri za familia nduguyo nn werrason anamipesa balaa yeye ni kuhongaga tu mahela





Mkongo mwngine yupo kwanye siri za familia nduguyo nn werrason anamipesa balaa yeye ni kuhongaga tu mahela





Nikajua wakongo huwa wanalelewa na wanawake...basi huyo yuko tofauti.Mkongo mwngine yupo kwanye siri za familia nduguyo nn werrason anamipesa balaa yeye ni kuhongaga tu mahela
Nzuri, weekend inasemajeZa mchana jirani....![]()
Nikajua wakongo huwa wanalelewa na wanawake...basi huyo yuko tofauti.
sasa hivi hali ngumu hamna namna lazima wajitumeWeekeend loveNzuri, weekend inasemaje
Asante sana kwa historia mwenyekitiLeo ni Miezi Mitano toka Kapuku Forum ianzishwe.
Ambapo ndani ya miezi mitano hiyo Uzi huu umeshavuka malengo kwa kuvunja Historia ya kuwa uzi wa kwanza kufikisha 100K kwa muda mfupi tu.
Happy anniversary Kapuku Forum!!
Niko poa, kukumiss tuAsante kwa magazeti bibie, u hali gani?
Ni kweli kabisaKuna mambo ya kifamilia yanatuweka bize kimtindo, utatuona tu usijali
Sijaiangalia muda mrefu hiyo tamthilia aseeMkongo mwngine yupo kwanye siri za familia nduguyo nn werrason anamipesa balaa yeye ni kuhongaga tu mahela
Hili lifanyiwe kazi na watu woteNaona mnasahau misingi ya makapuku, hamtoi like.
Mtu analeta mada hajamaliza mnapiga stori katikati yake!
Siku njema. Ijumaa Kareem.
Umionaeeh!!! Chukua likeHili lifanyiwe kazi na watu wote
Asante
Sijaiangalia muda mrefu hiyo tamthilia asee



Ye na Jimena tuBriz kwa kupiga chini hujambo
Fundi wa kujenga au wa nguo???Fundi

Hivi una private jet au?? Maana unasafiri kuliko mtawala alipitasafi, nipo Tanzanie kwa sasa
Ako nayo nimemupaki PaliiHivi una private jet au?? Maana unasafiri kuliko mtawala alipita
Udaga /muhogo ni mzuri sanaUkienda bush ni full udaga mwanzo mwisho hakuna ujanja ...sema tamu sana.