Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,606
- 40,933
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mukongo unadhani?? wala! wasichana tuko wachache humu ndio maana! waje na wengine uone kama nitapendwa. Nadhan hilo neno kapuku limewakimbiza wanadhani wanaume wa humu Wallet hazisomi. Wanawake wenzangu Mungu anawaona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!