briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Afu ni kuanzia baada 100k likes zimepungua sanaNaona mnasahau misingi ya makapuku, hamtoi like.
Mtu analeta mada hajamaliza mnapiga stori katikati yake!
Siku njema. Ijumaa Kareem.
Afu ni kuanzia baada 100k likes zimepungua sanaNaona mnasahau misingi ya makapuku, hamtoi like.
Mtu analeta mada hajamaliza mnapiga stori katikati yake!
Siku njema. Ijumaa Kareem.
Briz kwa kupiga chini hujamboSuluhisho ni kupiga chini hicho kichomi shem
MhhhhhhShem lake utakua na pumzi sana wallah!![]()
Duh! Sasa na we ni ndugu yake na harmonize??Mlinzi: "nikichimama nchale, nikikimbia nchale"
Kabila la Harmonize
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Leo ni Miezi Mitano toka Kapuku Forum ianzishwe.
Ambapo ndani ya miezi mitano hiyo Uzi huu umeshavuka malengo kwa kuvunja Historia ya kuwa uzi wa kwanza kufikisha 100K kwa muda mfupi tu.
Happy anniversary Kapuku Forum!!
Nzuri sanaNiko poa ankali, za wewe?
Hapana..Duh! Sasa na we ni ndugu yake na harmonize??
Hahaha hapana mkuu 'sina maana hiyoo' in JK's voiceBriz kwa kupiga chini hujambo
Yes he is a ProfNikiskia huyo jamaa ni profesa huwa naona ni bora mie ambaye sijasoma asee, anatia kichefuchefu sana anaaibisha maprofesa wenzie
Vingongo forum walishakataga pumzi kitambo sana.

Yes he is a Prof
Lakini kasomea pumba km jina lake kwahiyo ni mtaalamu wa pumba
![]()
![]()
![]()
...........





NakumbukaAlitufunga goli moja la hatari kwenye Uefa pale OT.
Madrid alishinda 2-1
Samtaimu namezeaga tuNaona mnasahau misingi ya makapuku, hamtoi like.
Mtu analeta mada hajamaliza mnapiga stori katikati yake!
Siku njema. Ijumaa Kareem.
YeahHivi ni mpaka afe ndo aingie mwengine?
WamekusikiaVingongo forum walishakataga pumzi kitambo sana.
Wameshindwa kuhimili mbio za masafa marefu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Goodmorning
UliopitilizaUle ni ufalme
Kingdomship
![]()
![]()
![]()
........