Makapuku Forum

Makapuku Forum

Imetimia sna namkumbuka rafiki yangu kipenzi tukiwa mbalizi mbeya kabla hatujaachana na harakat za kusaka life da umenikumbusha mbali sana jamaa anampenda sana.
Nachompendea Queen Latifah....Ni muimbaji japo sikuhiz nadhan hayupo sana huko, ni actor wa movies, pia ni Comedian mzuri tu na mambo ya fashion pia anafanya...yani ana vipaji double double.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom