makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,901
- 104,148
Rekod maana yake si unajua lakin mkuu.. Hayawez kuisha haya..Mambo ya Jana bado yanaendelea tu
Rekod maana yake si unajua lakin mkuu.. Hayawez kuisha haya..Mambo ya Jana bado yanaendelea tu
Umeona, ila kikofia anamachungu sanaAnaweza, acha masihara kabsa na jonax kikofia, lile likofia sio la bure..
Hahaa...Chemistry bhna...nakumbuka ...unaingia exam room unakuta swali hujawai skia tangu form one..unaenda swali LA pili linasema explain your answer in Q1 above...unaisha nguvu unasonga swali la 3....kumbe linasema discuss your answer in question number 2...unaangalia wenzako walio karibu na wewe ni ****** bora wewe ..unaona hamwezi discuss
![]()
... Unaenda swali LA 4 wanauliza two types of bonds na we unajua ni eurobond na james bond pekee...unauma kalamu✍�...Kidogo unasikia mwenzako anaomba extra paper unashindwa kuelewa we ni kurogwa ama nini..kabla huyo kuketi mwingine anasimama na kusema swali LA 7 liko na shida na ni hilo pekee uli culculate ukapata 0.076524.Unaamua kulalia meza na unaota kuna mjomba wako yuko jeshi ataku organaizia uingie jeshini after chuo
..unaamka ghafla unapokumbuka kumbe mjomba wako ni wa Jeshi la wokovu.```*
Labda nae ni mkunga...Una birth certificate zetu??
Red...
Kwema kakaZinaenda poa sana, vp Iringa kwema
Me too bae, za mida?Miss you
Imemuuma sana..Umeona, ila kikofia anamachungu sana
Hapana, labda uniandalie PILAU NA KUKU, ndio napenda
Hivi huyo jamaa bado yupo sijamfatilia mda mrefu sanaSimpati picha masele cha pombe.. Anaweza akawa anaghairisha siku yake ya kuzaliwa ili iende sawa na siku hyo pendwa kwa wapenda kuyumba yumba..
Hhmm.. Hata sijui ndugu yangu, sijafatlia muda kweli..Hivi huyo jamaa bado yupo sijamfatilia mda mrefu sana
Juzi nimeshindwa kuja KF kucheki nina post zaidi ya 899 jana nikachungulia nika kuta nyingine 700 na ushee asubuhi mia 200 na kitu nikafanya uamuzi MGUMU kuendelea pale uzi ulipo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()



niliwahi kukuta nimeachwa kwa posts 3900+, we acha tu ilikua ni kama niko majaribuni