Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Una birth certificate zetu??hivi wanawake wote uku naona ni kwanzia 30 years![]()
Una birth certificate zetu??hivi wanawake wote uku naona ni kwanzia 30 years![]()
Ukuye mara moya..
Miss youNi poa sana, mishe zinaaendaje?
Yeah ili tujiachie vizuriIwekwe na hapa bongo sasa![]()
![]()
![]()
Nakala kwa wazee wa ngano
Ndo uone maajabu sasaUmejuaje???
Windhoek baridiiiiHeineken mbili tafadhali
Simpati picha masele cha pombe.. Anaweza akawa anaghairisha siku yake ya kuzaliwa ili iende sawa na siku hyo pendwa kwa wapenda kuyumba yumba..Iwekwe na hapa bongo sasa![]()
![]()
![]()
Nakala kwa wazee wa ngano
Kwasababu imekuwa wakati muafakaUngeoga kabisaaa
Itakuwa anaudugu na bitoz uchwara..Ana uhakika huo??![]()
Anaweza, acha masihara kabsa na jonax kikofia, lile likofia sio la bure..Zinaenda poa sana, vp Iringa kwema
Balimi moto fastaWindhoek baridiiii