Makapuku Forum

Makapuku Forum

Juzi nimeshindwa kuja KF kucheki nina post zaidi ya 899 jana nikachungulia nika kuta nyingine 700 na ushee asubuhi mia 200 na kitu nikafanya uamuzi MGUMU kuendelea pale uzi ulipo[emoji41] [emoji124] [emoji445] [emoji443] [emoji444]
 
Taarifa nilizozipata hivi punde...watu wanaolala gesti mchana mchana wameanza kukamatwa!!!!! kuna defender linawazoa ningeweza kuwatumia Audio ila ndo siwezi ku attach! waambien jamaa zenu watoke haraka ni sheedar. Makonda ameshasaini sheria ya watu wanaoingia gesti mchana kukamatwa.

Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Hhmm.. Sasa huku kuingiliana uhuru..
 
Bando la chuo limeisha saa sita usiku
1473233759448.jpg
 
Back
Top Bottom