Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
SanaaaaSasa walinzi wake kama ni wafupi ilikuwa kituko.
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
SanaaaaSasa walinzi wake kama ni wafupi ilikuwa kituko.
Kwema kabisa, vp pande hizoNipo. Kwema
Pande hizi poa kabisaKwema kabisa, vp pande hizo
Jana ulilala mbeleMuzee ya ku-cc![]()
Ndio mzee wa ku-ccUnahitaji ufafanuzi hapo?

Acha kabisaUkizingatia na 100k ipo mkononi
Nimeishaiona
Nlikuwa tight aseeJana ulilala mbele

Asante sana kwa magazeti JJView attachment 395477View attachment 395478View attachment 395479
Kwa hisani ya Queen Jimena na 100k sina la ziada kutoka kwenye magazeti ya Leo.
Niite Jimena Jimenes, muwe na siku njema.
Nawapenda wote
Maajabu hayaishi dunianiAhsante JJ, Shehe Sharif kaolea kanisani eti JJ???
Situmiagi hiyo mambo, nibadilishie
Sema bosi kubwa..Cc makaveli
Niko poa kabisaNiko poa Sanaa.. sijui wewe kamanda???
JF inabidi upgrade sever YaoNlikuwa tight asee
Naona ilikuwa tough mpaka JF ilichanganyikiwa![]()
Juice hupendi???Situmiagi hiyo mambo, nibadilishie
Ungese mtupuTaarifa nilizozipata hivi punde...watu wanaolala gesti mchana mchana wameanza kukamatwa!!!!! kuna defender linawazoa ningeweza kuwatumia Audio ila ndo siwezi ku attach! waambien jamaa zenu watoke haraka ni sheedar. Makonda ameshasaini sheria ya watu wanaoingia gesti mchana kukamatwa.
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Habari za huko ulikoSema bosi kubwa..