Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jimena alikuwa anataka kukuachia 101k, Sasa kuichukua yeye
Kwanza nmeshajiuzulu kwenye mashindani.
Kuanzia sasa nitabaki kama mwanachama wa kawaida tu.
Maana haiwezekani hayakufanyika kwa huru na haki.
Ujecha umekuwa mwingi.


~Lipumba voice
[emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53]
 
1473233308263.jpg
pale unapoifukuzia post ya 100k afu ukajikuta nyuma Jonax na mwenzie Nsekwa wanakuvutaaa shati weee hadi unadumbukia shimoni...[emoji28]
 
Taarifa nilizozipata hivi punde...watu wanaolala gesti mchana mchana wameanza kukamatwa!!!!! kuna defender linawazoa ningeweza kuwatumia Audio ila ndo siwezi ku attach! waambien jamaa zenu watoke haraka ni sheedar. Makonda ameshasaini sheria ya watu wanaoingia gesti mchana kukamatwa.

Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Wanyaki tutapona kweli
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
.......
 
Back
Top Bottom