Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwa makapuku wote;
Napenda kutoa shukrani za dhati kwenu wote kwa mchango wenu wa katika uzi huu pendwa,
Ambao leo umeweka REKODI ya uzi wenye posts nyingi zaidi jf.
Zaidi ya yote pia napenda kuwashukuru kuniwezesha kuwa mshindi wa post ya 100,000, isingekuwa ushindani wenu mlioutoa nisingeweza kuwa mshindi,
Bitoz asante kwa ubunifu,
Jimena shukrani kwa chango wako kwa kufanikisha uzi huu kwa ushauri wako,
Billy5 nawe umehusika sana,

Wanachama hawa pia wamekuwa mstari wa mbele katka kusukuma uzi huu;
Musolin5 a.k.a dikteta
Briz..a.k.a baba jj
Shululu a.k.a simba mwenda pole
Sweetiepie...???
Na wengine wengi.

Ushauri
Tuendelea kushikamana zaidi wanduguu
Lakin naskia ati 100k kaifikisha pacha au....???
 
Amen!!
 
Mshindi halali nani
Kumbukeni kuna option ya DELETE so # ya post haibadiliki kamwe isipokuwa mpangilio
1473190913140.png

# HAIDANGANYI
..............................
 
Kwa makapuku wote;
Napenda kutoa shukrani za dhati kwenu wote kwa mchango wenu wa katika uzi huu pendwa,
Ambao leo umeweka REKODI ya uzi wenye posts nyingi zaidi jf.
Zaidi ya yote pia napenda kuwashukuru kuniwezesha kuwa mshindi wa post ya 100,000, isingekuwa ushindani wenu mlioutoa nisingeweza kuwa mshindi,
Bitoz asante kwa ubunifu,
Jimena shukrani kwa chango wako kwa kufanikisha uzi huu kwa ushauri wako,
Billy5 nawe umehusika sana,

Wanachama hawa pia wamekuwa mstari wa mbele katka kusukuma uzi huu;
Musolin5 a.k.a dikteta
Briz..a.k.a baba jj
Shululu a.k.a simba mwenda pole
Sweetiepie...???
Na wengine wengi.

Ushauri
Tuendelea kushikamana zaidi wanduguu
Hongera sana Quigley

Mwanzoni nilisema timu Ureno inabeba ndoo

Forum haitasimama itasonga mbele bila wasi wasi

Cc bitoz
Cc jimena
Cc briz
Cc mussolin
Cc sweetiepie
Cc werrason
Cc szczesny
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom