Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
Wakija bongo tutakomaNdevu nazo zinalipiwa kodi![]()
Wakija bongo tutakomaNdevu nazo zinalipiwa kodi![]()
Kumbe mod wamefanya yao sasa tutaandika UCHWARERUnamzungumzia huyu u.chwa.ra?View attachment 394244
Sababu za kutaka kumuua?1975 - Lynette Fromme anajaribu kumuua Rais wa Marekani Gerald Ford huko jijini California.
Mwanamama huyo alichukua uamuzi mgumu lakini alishindwa, kabla ya kukamatwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha.
Baada ya kukaa miaka 34 gerezani aliachiwa kwa msamaha wa Parole mwaka 2009.
hahaha...in Uchwara's voiceCastro hajaribiwi bhaana
Tafuta ujionee Inaitwa Operation Wrath of God au operation bayonetaHaaa hii lazma niitafute aisee!!
We kibokoHii naitafuta kesho tu
Naweza nikaikosa!!Asante mkuu, 100k inatafutwa sana
1975 - Lynette Fromme anajaribu kumuua Rais wa Marekani Gerald Ford huko jijini California.
Mwanamama huyo alichukua uamuzi mgumu lakini alishindwa, kabla ya kukamatwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha.
Baada ya kukaa miaka 34 gerezani aliachiwa kwa msamaha wa Parole mwaka 2009.
Haikiwekwa waziSababu za kutaka kumuua?
Cc chattleWanakurupuka tuu
Briz yeye yupo kambi kabisa, kisa 100kNaweza nikaikosa!!
Yetu machoMi nimeandaa mkakati maalumkazi kwenu..
Mbona unaanza kujihami mapemaMi kazi nnayo maana sitakuwa na laptop ntatumia simu tu ila ntaipata
Happy Birthday Carew1979 - John Carew anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Aston Villa, Olympic Lyon na Stoke city.
Heri ya siku ya kuzaliwa Nuri1988 - Nuri Sahin anazaliwa.
Ni kiungi wa Uturuki na klabu ya Borrusia Dortmund.
Alichemsha Real Madrid na Liverpool.
Cc mussolinKwa simu ni ngumu mno na mi maranyingi huwa natumia simu lakin pamoja na hayo bado naamini ntaitupia tu
Ile documentary inaitwa " Operation wrath of God au Operation Bayoneta "
Mapapai yangu yanifikie kabla ya weekendLeo ni siku ya kimataifa ya Hisani.
Hivyo kuazimisha siku hiyo najitolea hisani ya kuwanunulia mapapai makapuku wote.
Sijui aliwaza nini?