Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Pamoja sanaLeo nilibanwa sana.
Pamoja sanaLeo nilibanwa sana.
Mi mzima nasubr top kali zako tu.Ahsante Sweetiepie nshakaribia.
Mzima lakini?
Safi kabisa1666 - Moto Mkubwa uliozuka Jijini London wazimwa.
Moto huo uliozuka kwa siku tatu uliteketeza maelfu ya majengo katika jiji hilo ikiwemo kanisa maarufu la kipindi hiko la Mtakatifu Paulo.
Pamoja na kuwa moto huo ulikuwa mkubwa sana, uliuua watu 6 tu.
1666 - Moto Mkubwa uliozuka Jijini London wazimwa.
Moto huo uliozuka kwa siku tatu uliteketeza maelfu ya majengo katika jiji hilo ikiwemo kanisa maarufu la kipindi hiko la Mtakatifu Paulo.
Pamoja na kuwa moto huo ulikuwa mkubwa sana, uliuua watu 6 tu.
Huu sasa ubaguzi.1698 - Mfalme Peter wa Kwanza wa Nchini Urusi anatambulisha kodi ya Ndevu kwa wanaume nchini humo kasoro Wakulima tu.

Kodi ya ndevu1698 - Mfalme Peter wa Kwanza wa Nchini Urusi anatambulisha kodi ya Ndevu kwa wanaume nchini humo kasoro Wakulima tu.
Ndezi wewe...Bitoz anywa soda
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Avatar ya mtu naona leo iko uwanja wa nyumbani1957 - Vuguvugu la mapinduzi ya Cuba linapamba moto baada ya Dikteta wa Nchi hiyo Fulgencio Batista kulipua mabomu katika kitongoji cha Cienfuegos ndani ya Jiji la Havana akiaamini atawakomoa akina Fidel Castro na wenzake.
1698 - Mfalme Peter wa Kwanza wa Nchini Urusi anatambulisha kodi ya Ndevu kwa wanaume nchini humo kasoro Wakulima tu.
Km yakoUnataka kusema kama shepu hata puppy anayo au?! ...![]()
Wa KizunguHawa ni Albino?
Akili za Dikteta JuhaHuu sasa ubaguzi.
Hii haina tofauti na ile hoja inayosema "watu wataanza kulipa nauli ya ndege kulingana na uzito wako wa mwili"
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
1957 - Vuguvugu la mapinduzi ya Cuba linapamba moto baada ya Dikteta wa Nchi hiyo Fulgencio Batista kulipua mabomu katika kitongoji cha Cienfuegos ndani ya Jiji la Havana akiaamini atawakomoa akina Fidel Castro na wenzake.
Safi sanaNimeingia chumbani nikakuta panya wamekula dawa yangu ya meno,
Na mimi nimechukua ya kwao nikanywa. Sipendagi ujinga mimi!!![]()
Unamzungumzia huyu u.chwa.ra?Akili za Dikteta ****
![]()
![]()
![]()
...... ......
KunywaBitoz anywa soda
![]()
![]()
![]()
![]()
........