Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
[emoji115] [emoji115] [emoji115] uchocheziBriz yeye yupo kambi kabisa, kisa 100k
[emoji115] [emoji115] [emoji115] uchocheziBriz yeye yupo kambi kabisa, kisa 100k
Sijajihami Bali nimetoa taarifaMbona unaanza kujihami mapema
Cc bitozWenye bahati zao tutawaona
Yalivyolipuka sauti ilifika hadi MabiboSie tuna mabomu ya Mbagala
1967 - Matthias Sammer anazaliwa.
Ni kiungo wa zamani wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani.
Anachukuliwa kama mmoja wa Viungo bora wa kukaba kuwahi kucheza soka.
Asante sanaIle documentary inaitwa " Operation wrath of God au Operation Bayoneta "
cc
shululu
Jimena
Sweetiepie
Bitoz
na wengineoo
1979 - John Carew anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Aston Villa, Olympic Lyon na Stoke city.
Kule hakushine kabisaSijui nini kilimkuta alipoenda Madrid?
Alikuwa fundi namba 10 ya hatari.
Hapo sawaNtayatuma kwa DHL
Hata zaidiSarafu ya Elfu 10
Hizo ni za kibepariMaana sio kwa midevu hii
1988 - Nuri Sahin anazaliwa.
Ni kiungi wa Uturuki na klabu ya Borrusia Dortmund.
Alichemsha Real Madrid na Liverpool.
I and IOne love!!
Akilili ndogo + wivuHuyo aliyetambulisha kodi ya Ndevu yeye kidevuni kweupe
Km Ngosha eti matuta yaondoleweWanakurupuka tuu
UmaarufuSijui aliwaza nini?
[emoji23] umeli-modify mpk limekuwa la kidhungu sasaKumbe mod wamefanya yao sasa tutaandika UCHWARER
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Dictator uchwarer[emoji23] umeli-modify mpk limekuwa la kidhungu sasa
Uchwareeeeeer[emoji445]Dictator uchwarer
[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
................