makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,995
- 104,510
R.i.p in advance.Nimeingia chumbani nikakuta panya wamekula dawa yangu ya meno,
Na mimi nimechukua ya kwao nikanywa. Sipendagi ujinga mimi!!![]()
R.i.p in advance.Nimeingia chumbani nikakuta panya wamekula dawa yangu ya meno,
Na mimi nimechukua ya kwao nikanywa. Sipendagi ujinga mimi!!![]()
Wasiokupenda utawajua tu kwenye mazingira km hayaTena ishushie na super glue kabisa
Alaaaaaa!
Kwani sh. Ngap bhanaaa?
Sawa mkuuHii naitafuta kesho tu
Na ungechoma benki zote!!Wallahi ingekuwa hapa bongo huo moto ungeua maelfu...![]()
Nakukubali sana katibu wanguPamoja sana
Sie tuna mabomu ya Mbagala
Asante mkuu, 100k inatafutwa sanaLeo katika Historia:
Sina la ziada, tukutane kesho, kwa udhamini mnono wa 100k ambayo itawajia siku chache zijazo, kwaherini.
hahahaaaHuu sasa ubaguzi.
Hii haina tofauti na ile hoja inayosema "watu wataanza kulipa nauli ya ndege kulingana na uzito wako wa mwili"
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ingenihusu hiyoKodi ya ndevu
Kwa nini wasema hivyoMhhhh we ni muhindi! shem lake ni muhindi![]()
hahaha...home sweet homeAvatar ya mtu naona leo iko uwanja wa nyumbani
Mambo vp djAhsante Sweetiepie nshakaribia.
Mzima lakini?
Huyo aliyetambulisha kodi ya Ndevu yeye kidevuni kweupe
1972 - Yanatokea mauaji ya kutisha katika michezo ya Olimpiki huko jijini Munich nchini Ujerumani.
Tukio hilo maarufu kama " Munich Massacre " lilifanywa na kikundi cha Wapalestina kilichojulikana kama Black September dhidi ya wanamichezo wa Israel.
Baada ya kuvamia kijiji cha Olimpiki, Kundi hilo la Black september likaua Waisrael na kuwashikilia mateka baadhi.
Hali iliyopelekea Shirika la Ujasusi la Israel, Mossad kuandaa Operesheni na kuwasaka wauaji wake wakiwa hai au wamekufa.
Ilikuwa ni Operesheni ya aina yake kuafanywa na Mossad chini ya kikundi hatari cha uuaji kijulikanacho kama KIDON.
Waliuwa wote waliohusika katika mauaji yale ya Munich.
Tafuta documentary iitwayo " Mossad The World's Most Killing Machine "ufaidi uhondo.
Hii documentary ntaitafuta1972 - Yanatokea mauaji ya kutisha katika michezo ya Olimpiki huko jijini Munich nchini Ujerumani.
Tukio hilo maarufu kama " Munich Massacre " lilifanywa na kikundi cha Wapalestina kilichojulikana kama Black September dhidi ya wanamichezo wa Israel.
Baada ya kuvamia kijiji cha Olimpiki, Kundi hilo la Black september likaua Waisrael na kuwashikilia mateka baadhi.
Hali iliyopelekea Shirika la Ujasusi la Israel, Mossad kuandaa Operesheni na kuwasaka wauaji wake wakiwa hai au wamekufa.
Ilikuwa ni Operesheni ya aina yake kuafanywa na Mossad chini ya kikundi hatari cha uuaji kijulikanacho kama KIDON.
Waliuwa wote waliohusika katika mauaji yale ya Munich.
Tafuta documentary iitwayo " Mossad The World's Most Killing Machine "ufaidi uhondo.
Wanakurupuka tuu