Makapuku Forum

Makapuku Forum

1975 - Lynette Fromme anajaribu kumuua Rais wa Marekani Gerald Ford huko jijini California.

Mwanamama huyo alichukua uamuzi mgumu lakini alishindwa, kabla ya kukamatwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha.

Baada ya kukaa miaka 34 gerezani aliachiwa kwa msamaha wa Parole mwaka 2009.
 
1960 - Bondia Muhammad Ali anashinda medali ya dhahabu katika Masumbwi ya uzito wa juu katika Olimpiki ya majira ya joto huko Jijini Rome nchini Italy
1473094406193.jpg
1473094412073.jpg
1473094416473.jpg

Congrats
.........
 
1972 - Yanatokea mauaji ya kutisha katika michezo ya Olimpiki huko jijini Munich nchini Ujerumani.

Tukio hilo maarufu kama " Munich Massacre " lilifanywa na kikundi cha Wapalestina kilichojulikana kama Black September dhidi ya wanamichezo wa Israel.

Baada ya kuvamia kijiji cha Olimpiki, Kundi hilo la Black september likaua Waisrael na kuwashikilia mateka baadhi.

Hali iliyopelekea Shirika la Ujasusi la Israel, Mossad kuandaa Operesheni na kuwasaka wauaji wake wakiwa hai au wamekufa.

Ilikuwa ni Operesheni ya aina yake kuafanywa na Mossad chini ya kikundi hatari cha uuaji kijulikanacho kama KIDON.

Waliuwa wote waliohusika katika mauaji yale ya Munich.

Tafuta documentary iitwayo " Mossad The World's Most Killing Machine "ufaidi uhondo.
Haaa hii lazma niitafute aisee!!
 
1975 - Lynette Fromme anajaribu kumuua Rais wa Marekani Gerald Ford huko jijini California.

Mwanamama huyo alichukua uamuzi mgumu lakini alishindwa, kabla ya kukamatwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha.

Baada ya kukaa miaka 34 gerezani aliachiwa kwa msamaha wa Parole mwaka 2009.
Mzee wa bodi ya parole
CC: Mrema.
 
1972 - Yanatokea mauaji ya kutisha katika michezo ya Olimpiki huko jijini Munich nchini Ujerumani.

Tukio hilo maarufu kama " Munich Massacre " lilifanywa na kikundi cha Wapalestina kilichojulikana kama Black September dhidi ya wanamichezo wa Israel.

Baada ya kuvamia kijiji cha Olimpiki, Kundi hilo la Black september likaua Waisrael na kuwashikilia mateka baadhi.

Hali iliyopelekea Shirika la Ujasusi la Israel, Mossad kuandaa Operesheni na kuwasaka wauaji wake wakiwa hai au wamekufa.

Ilikuwa ni Operesheni ya aina yake kuafanywa na Mossad chini ya kikundi hatari cha uuaji kijulikanacho kama KIDON.

Waliuwa wote waliohusika katika mauaji yale ya Munich.

Tafuta documentary iitwayo " Mossad The World's Most Killing Machine "ufaidi uhondo.
Hii naitafuta kesho tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom