Makapuku Forum

Makapuku Forum

1473087096306.jpg
 
Kachu alikuwa ufukweni mwa bahari akiwaza sana.

Nguvu akamuuliza: Unawaza nini?

Kachu akajibu: natafakari hii bahari ingekua supu ningeinywa na chapati ngapi?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom