Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Nalitajumbua hilo, ila ulikuwa ujumbe wa JonaxTuheshimiane shululu mimi sio kiokote
Jifunze tu ufilipino mkuu kama unawataka hawa warembo si unaona jinsi Quigley anavyopokonya wapenzi wa watu![]()
Hakuna anayemchukia costa, ni mchezaj mzur suala katuongopea umri..Una mahaba na Diego costa weyeee....hawa watakuumiza kichwa aisee wapotezee maana inaonyesha hawampendi!!![]()
My ex hubby kuachilia ile kazi unayoifanya nadhani una kipaji cha utunzi wa mashairi....wakina Dimondi wanakuhusuKeap ya head up...
Some say th darker the berry, the sweeter the juice, i say the darker the fresh then the deeper the roots"
Chura yupi sasa fafanua! sikuhizi kuna chura wa aina nyingine mjini.UMESHAWAHI KUFANYA HILI JARIBIO.?
>mchukue chura then muweke kwenye chombo ambocho ni good conductor of heat kikiwa na maji ndani yake,then anza kuchemsha maji akiwemo na chura ndani yake..
kadri temperature inavyo ongezeka chura nae huwa ana increase temperature ya mwili wake..
pindi inapokaribia kufika boiling point yaani nyuzi 100 chura atashindwa kuongeza temperature ktk mwili wake na hapo ndipo atataka kutoka ktk maji hayo ya moto na yanayo endelea kuchemka..
kutokana na kutumia nguvu nyingi sana ktk kuongeza temperature ktk mwili wake,pindi anapotaka kuruka atashindwa na atakufa humo ndani ya chombo cha maji yanayochemka..
SWALI; NINI KIMEMUUA CHURA.!??
Najua utaniambia ni maji ya moto...
La hashaa.!
kilichomuua chura ni kushindwa kufanya maamuzi mapema ya kutoka katika chombo cha maji yanayochemka hali ya kuwa bado nguvu anazo..
FUNZO
Fanya maamuzi sahihi sasa kabla nguvu za kutaka kufanya changes hazijakuishia kama yaliyomkuta chura..
NOTE; Kuvumilia jambo usiloliweza ni sifa ya punda.
BADILIKA
Thats itSio kwamba hatumpendi, ila ukweli unatuweka huru, huo ndio ukweli wenyewe
Hii inamuhusu naniUMESHAWAHI KUFANYA HILI JARIBIO.?
>mchukue chura then muweke kwenye chombo ambocho ni good conductor of heat kikiwa na maji ndani yake,then anza kuchemsha maji akiwemo na chura ndani yake..
kadri temperature inavyo ongezeka chura nae huwa ana increase temperature ya mwili wake..
pindi inapokaribia kufika boiling point yaani nyuzi 100 chura atashindwa kuongeza temperature ktk mwili wake na hapo ndipo atataka kutoka ktk maji hayo ya moto na yanayo endelea kuchemka..
kutokana na kutumia nguvu nyingi sana ktk kuongeza temperature ktk mwili wake,pindi anapotaka kuruka atashindwa na atakufa humo ndani ya chombo cha maji yanayochemka..
SWALI; NINI KIMEMUUA CHURA.!??
Najua utaniambia ni maji ya moto...
La hashaa.!
kilichomuua chura ni kushindwa kufanya maamuzi mapema ya kutoka katika chombo cha maji yanayochemka hali ya kuwa bado nguvu anazo..
FUNZO
Fanya maamuzi sahihi sasa kabla nguvu za kutaka kufanya changes hazijakuishia kama yaliyomkuta chura..
NOTE; Kuvumilia jambo usiloliweza ni sifa ya punda.
BADILIKA
City boy dabbing.Njoo utulizwe nafsi yako hapa City na BoyView attachment 393652ya nini uteseke
Itabidi niandae story yake japo kwa ufupi lakini kumbuka alipigwa risasi tarehe 6 au 7 akaja kufa tarehe 13.Ni September 13.. Cwt"p" itabid atuletee uhondo that day.. Hope pia atakuwepo katka historia yako..
Kukocopy Kuna gharamaNaona wanakaririshana principles sana ndo mana yanawawia vigumu
Umewona eehhhYule jamaa ni mzee basi tu! wachezaji wenzake wa miaka hiyo ya 89 wana vi baby face...

Sitaki kuamini kama huyo mdada ndio wewe?!!!