briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Naona wanakaririshana principles sana ndo mana yanawawia vigumuYako na hadi fomula
Naona wanakaririshana principles sana ndo mana yanawawia vigumuYako na hadi fomula
Manuu kapotea sanaMimi muwindaji mkuu wangu.
Huwa nafurahi sana nkiwa live na manuu huwa fujo sana, popote tukiingia warembo wana shakeee
Wopa na Hamonaizi
Ni September 13.. Cwt"p" itabid atuletee uhondo that day.. Hope pia atakuwepo katka historia yako..Tulimpoteza September kama hii
Hanipati ng'o!!!Vita vya panzi................
Furaha ya kunguru
Utampate kwa mfanoNkishampata huyu mrembo naacha
Sema swhiba wanguCc makaveli
Jirani nakupenda sana kwakweli....Tumia njia mbadala
Kwani uongo ci ulishakeWacha weeeeee!!!! mweeeer hongereni sana vijana wa mwendokasi![]()

Cc JonaxJifunze tu ufilipino mkuu kama unawataka hawa warembo si unaona jinsi Quigley anavyopokonya wapenzi wa watu![]()
Hajanipata badoooo!!!!Jifunze tu ufilipino mkuu kama unawataka hawa warembo si unaona jinsi Quigley anavyopokonya wapenzi wa watu![]()
Umezoea sana sasaNaanza kuzoea kidogo
Broo pigania basi unapopendwa.. Yaan mwanamke umfumanie na kidume kwako bado tu upiganie penzi.. Awe anakupenda kuna vizuiz hapo kati ndio una haki ya kupigania penziPengine ni kweli usemacho braza lakin mapenzi ya kupendwa tu bila kupigania huwa hayanogi bana, endelea tu kukomaa mbona mtoto anakuelewa sana.. Quigley hawezi kuwa kizuizi namna hiyo afu cha kugombania siku zote ndo kitam man
Manuu yupo sema kabanwa sanaManuu kapotea sana
Weka pichaAcheni hizo bhana
![]()
![]()
.......