Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
97 K nimeivizia
Sasa ngoja ninywe tu togwa
Ahsanteni kwa kunisindikiza
![]()
![]()
![]()
.........

Pengine ni kweli usemacho braza lakin mapenzi ya kupendwa tu bila kupigania huwa hayanogi bana, endelea tu kukomaa mbona mtoto anakuelewa sana.. Quigley hawezi kuwa kizuizi namna hiyo afu cha kugombania siku zote ndo kitam manI will never evr fight for a love, utapigania upendo pale unapopendeka, kupigania upendo usipopendeka, ni kupiga hatua kuelekea kaburin, yaliyopita yamepita ndugu yangu, thats history, mapenz sahihi ni watu wawili wenye mawazo sawa A ampende B na B ampende A, ikitokea mmoja tu ha'feel the same hayo hayatakuwa mapenzi zaid ya majonzi. Ni faraja anaondoka sijawahi mpiga wala mtukana zaid ya kumtreat better kuliko alivyowahi, that proves am a gentlemen![]()
![]()
Mapenzi yameniumbua, ninachoshukuru hayajaniua.
Una mahaba na Diego costa weyeee....hawa watakuumiza kichwa aisee wapotezee maana inaonyesha hawampendi!!Jimena kwanza mambo vipi
Halafu ule ni mwili tu na sura ya kizee lakini ana miaka 27 mnyama diego costa




Ni kweli ilishawishiNow you know...!!
WamchanganiHongera sana kwa kuingia kwenye historia
97k
Haya Bitoz huyo nmemshika mkono amekuja kujibu tuhumaHana lolote kiazi tu huyo.. Muuza makande tandale kwa tumbo..
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Weka videoHaya Bitoz huyo nmemshika mkono amekuja kujibu tuhumaView attachment 393651
Tokea lini kokoto ikawa dhahabuLeo nimeokota jiwe linafanana na dhahabu
Naombeni ushauri
..........
Sema usikikeTatizo huyu mrembo anataka zile tongoza za ki-tamthilia.
Wakat mm nakuja ki-hustler
Duuu ndio yamewafika hapa???Haya nenda bibie.. Nakutakia kila la kheri kwenye maisha yako, mungu akuongoze, akuepushe na kila lenye shari...
One thing u must know"i aint mad at cha"... Wish u all the best, sikuchukii, ukikwama usihofie kunitafta..
Nakupa last hug.
Karibu diktetaKwema, jpili yangu ilikuwa mjarabu sana! mzma ww?
Niko poa mkuu sijui wewe bobMkuu uko poa!
Kwei kabisaAaah Aaah Aaah kwanini usitunge kitabu cha riwaya za malavi davi??? Vipaji vinapotea!!!

Poa sanaNiko poa mkuu sijui wewe bob
poa poa mkuuKaribu dikteta
Wanajua kabisa mi ni shabiki wa the blues then wananipondea striker wangu mtukutu costaUna mahaba na Diego costa weyeee....hawa watakuumiza kichwa aisee wapotezee maana inaonyesha hawampendi!!![]()