Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
hahahaKapiga shuti ikagonga besela ikaingia wavuni, baada ya hapo kwenye togwa kwanza na kambale
hahahaKapiga shuti ikagonga besela ikaingia wavuni, baada ya hapo kwenye togwa kwanza na kambale
Najitahidi tuonane live, nashukuru amekubali, akifunguka na akinipa ridhaa ya kusema nitasemaHaha ningekuepo kipindi anaaga pengine labda ningefahamu mkuu, kuhusu kuondoka kwake bado ni wingu zito siijaweza kutambua
Wakikuogopa ni faida kwangu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()




naona jinsi unavyojua kutengeneza mazingiraYepNow you know...!!
Hadithi hyo ipo kwenye kitabu cha kiswahili darasa la 3Sizitaki mbichi hizi
Yako na hadi fomulaNaona mapenzi yenu yapo kisayansi kabisa
Bora useme wewe kiazi, nikisema mimi muhogo nina mizizi..Mzee sana yule hawezi kuwa 89
Age range 28+ above ????.Njoo utulizwe nafsi yako hapa City na BoyView attachment 393652ya nini uteseke
Mimi muwindaji mkuu wangu.naona jinsi unavyojua kutengeneza mazingira
Anatafutwa na wasiraHahaa.. Jonax kikofia ukuje kwa huku..
Zober ww
![]()
![]()
![]()
.........
Miss you too
Utamtaka vip nawe kivuruge nia yako kuharibu maisha ya yule binti..Wala simtaki
Ya kuua vipajiHahaa.. Dah, sijawah kuwaza, nilizaliwa na vipaji vingi ila vyote vinafiaa hv hv.. Tumezaliwa kwenye nchi hizi unategemea nin..
Nacheka sana unavyochekaa!!![]()

Kawaida tuu humu full mataniWanajua kabisa mi ni shabiki wa the blues then wananipondea striker wangu mtukutu costa
Ila poa sweetiepie ngoja niwakaushie tu



Vita vya panzi................Ulikua hujaachika rasmi nionyeshe kuwa ckutaki kukwepa lawama but wakati mnazozana yaani ilikuwa furaha kwangu nikijua utadondokea kwa quigley
J2 imeenda poa kwako bila shakapoa poa mkuu
Nkishampata huyu mrembo naachaPuli zitakuua ww
![]()
![]()
![]()
.........