Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Mi mzima sana nashukuru Mungu, mambo yanaenda kwakweli.Kwema, jpili yangu ilikuwa mjarabu sana! mzma ww?
Mi mzima sana nashukuru Mungu, mambo yanaenda kwakweli.Kwema, jpili yangu ilikuwa mjarabu sana! mzma ww?
Hahaaa....We si mukongo wewe usukuma umeuanza lini?...![]()
Njoo nikufute machozi honeyAsante pacha![]()
HahahaTatizo huyu mrembo anataka zile tongoza za ki-tamthilia.
Wakat mm nakuja ki-hustler





Ila ongea nae kama mama sio kama twinsPole sana mi hermana kwa kuachika
miss uMi mzima sana nashukuru Mungu, mambo yanaenda kwakweli.
Hahaa.. Jonax kikofia ukuje kwa huku..Ni mdogo ake wasira
Cc makaveliPengine ni kweli usemacho braza lakin mapenzi ya kupendwa tu bila kupigania huwa hayanogi bana, endelea tu kukomaa mbona mtoto anakuelewa sana.. Quigley hawezi kuwa kizuizi namna hiyo afu cha kugombania siku zote ndo kitam man
Umesema hunitaki!!!!Njoo nikufute machozi honey
Hahahaa lolIla ongea nae kama mama sio kama twins
Sio kwamba hatumpendi, ila ukweli unatuweka huru, huo ndio ukweli wenyeweUna mahaba na Diego costa weyeee....hawa watakuumiza kichwa aisee wapotezee maana inaonyesha hawampendi!!![]()
Hahaa.. Dah, sijawah kuwaza, nilizaliwa na vipaji vingi ila vyote vinafiaa hv hv.. Tumezaliwa kwenye nchi hizi unategemea nin..Aaah Aaah Aaah kwanini usitunge kitabu cha riwaya za malavi davi??? Vipaji vinapotea!!!
Miss you toomiss u
Ulikua hujaachika rasmi nionyeshe kuwa ckutaki kukwepa lawama but wakati mnazozana yaani ilikuwa furaha kwangu nikijua utadondokea kwa quigleyUmesema hunitaki!!!!
Njoo utulizwe nafsi yako hapa City na BoyDuuuh....![]()
Haha ningekuepo kipindi anaaga pengine labda ningefahamu mkuu, kuhusu kuondoka kwake bado ni wingu zito siijaweza kutambuaDaaah najiuliza sana kilichomtoa mtani wako tena wew ukiwa kwao
Kapiga shuti ikagonga besela ikaingia wavuni, baada ya hapo kwenye togwa kwanza na kambaleWamchangani
Yule jamaa ni mzee basi tu! wachezaji wenzake wa miaka hiyo ya 89 wana vi baby face...Sio kwamba hatumpendi, ila ukweli unatuweka huru, huo ndio ukweli wenyewe
HahahUlikua hujaachika rasmi nionyeshe kuwa ckutaki kukwepa lawama but wakati mnazozana yaani ilikuwa furaha kwangu nikijua utadondokea kwa quigley





R.I.P hawa viumbe wawiliYe na mama yake wote wametangulia.