Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,271
Nani anataka mlevi wewe!Njoo utulizwe nafsi yako hapa City na BoyView attachment 393652ya nini uteseke
Nani anataka mlevi wewe!Njoo utulizwe nafsi yako hapa City na BoyView attachment 393652ya nini uteseke
Ila umekubali kushindwa kirahisi sanaBroo pigania basi unapopendwa.. Yaan mwanamke umfumanie na kidume kwako bado tu upiganie penzi.. Awe anakupenda kuna vizuiz hapo kati ndio una haki ya kupigania penzi
Tunabakia navyo miilini mwetu..Ya kuua vipaji
Chura yupi sasa fafanua! sikuhizi kuna chura wa aina nyingine mjini.
Kwan umemfumania?Broo pigania basi unapopendwa.. Yaan mwanamke umfumanie na kidume kwako bado tu upiganie penzi.. Awe anakupenda kuna vizuiz hapo kati ndio una haki ya kupigania penzi


Na kipimo cha kupendwa kwako ni kipi?Aku kwani mi nimekuwa shake well b4 use???!!!!!Kwani uongo ci ulishake![]()
![]()
![]()
![]()
Mpe hi sanaManuu yupo sema kabanwa sana
Chura yupi sasa fafanua! sikuhizi kuna chura wa aina nyingine mjini.
Mwisho wa reliHawajui tu kama ndo nipo pale kigoma yan kama ni treni ndo limetia nanga... I'll always love you![]()
Unataka kunambia hadi muda wa mingo hana kabisaaaa!!?Manuu yupo sema kabanwa sana


Pambana na hali yako PapaaHahaa.. Dah, sijawah kuwaza, nilizaliwa na vipaji vingi ila vyote vinafiaa hv hv.. Tumezaliwa kwenye nchi hizi unategemea nin..

Ila wote mlikutana, Sema tu ndio hivyoMy ex hubby kuachilia ile kazi unayoifanya nadhani una kipaji cha utunzi wa mashairi....wakina Dimondi wanakuhusu
Nkishampata huyu mrembo naacha
Tunashukuru kwa ushaur.UMESHAWAHI KUFANYA HILI JARIBIO.?
>mchukue chura then muweke kwenye chombo ambocho ni good conductor of heat kikiwa na maji ndani yake,then anza kuchemsha maji akiwemo na chura ndani yake..
kadri temperature inavyo ongezeka chura nae huwa ana increase temperature ya mwili wake..
pindi inapokaribia kufika boiling point yaani nyuzi 100 chura atashindwa kuongeza temperature ktk mwili wake na hapo ndipo atataka kutoka ktk maji hayo ya moto na yanayo endelea kuchemka..
kutokana na kutumia nguvu nyingi sana ktk kuongeza temperature ktk mwili wake,pindi anapotaka kuruka atashindwa na atakufa humo ndani ya chombo cha maji yanayochemka..
SWALI; NINI KIMEMUUA CHURA.!??
Najua utaniambia ni maji ya moto...
La hashaa.!
kilichomuua chura ni kushindwa kufanya maamuzi mapema ya kutoka katika chombo cha maji yanayochemka hali ya kuwa bado nguvu anazo..
FUNZO
Fanya maamuzi sahihi sasa kabla nguvu za kutaka kufanya changes hazijakuishia kama yaliyomkuta chura..
NOTE; Kuvumilia jambo usiloliweza ni sifa ya punda.
BADILIKA
Mimi hapa![]()
![]()
nani huyo msugua gaga
13 ni mkosiItabidi niandae story yake japo kwa ufupi lakini kumbuka alipigwa risasi tarehe 6 au 7 akaja kufa tarehe 13.
13 ni mbaya na yenye mkosi zaidi kwa mujibu wao