briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Basi ankali ni special asee na tunaweza kumtumia kama backup server kwa ajili ya kumbukumbu zetu KFHuyu ndio shululu.. Ana 1TB special kwa ajili ya kuhifadhi mambo tu.




Basi ankali ni special asee na tunaweza kumtumia kama backup server kwa ajili ya kumbukumbu zetu KFHuyu ndio shululu.. Ana 1TB special kwa ajili ya kuhifadhi mambo tu.




Hahaha afu hata akishtuka na ku-edit watu tunakua tushai quote



Am very sorry, sina jinsi, nakupa maisha yale unayoyataka, acha nikuache huru uishi maisha yako, jambo zuri niwezalo kulifanya kwa mwanamke nimpendae ni kumpa ile furaha ya moyo wake, furaha ya maisha yake.. I cnt hold u no mo.. Its the time to giv u a happiness.![]()
![]()
![]()





Ngoja tuisubiri hiyo sikuHahaha afu hata akishtuka na ku-edit watu tunakua tushai quote
Ni pana mithili ya tumbo la mbebez le akili ndogozLugha pana mnoo..



No! Si rahisi, trust me, huwez rudisha muda. Imetosha cwt p, Hakuna kitakachoweza kunibalisha kwa sasa, nakupenda kwa dhat thats y nakupa nafasi uishi maisha yako, nilikupenda, nakupenda, n ntazid kukupenda, every step u step, u wl b stepping with my love, mapenz yangu kwako yalikuwa ya ukweli naona may b hukujua..
Anyway kiza kinaanza kutanda bye cwt p wangu..![]()
![]()





Basi ankali ni special asee na tunaweza kumtumia kama backup server kwa ajili ya kumbukumbu zetu KF![]()

Unapewa number na dem alaf
anakuambia uwe unampigia saa 6 usiku pekee,
unashindwa na unajiuliza ni kwanini? kidogo kidogo
ukichunguza na unagundua amekusave
"alarm".......
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Robert Mugabe.




Ni sheeedarEeh bhana ndio, uzi unasereka mpaka salute![]()
Mwanamke mnafk wewe.. Nmekwambia jiandae twende kwa mkweo anakuhtaji ukavunga vunga, kumbe nia na madhumun upate kutoka na Quigley....
Sasa chukua kila unachoona kinakufaa na unachoweza kubeba ondoka navyo.. Mie niachie roho yangu tu na nyumba yangu, napiga simu hone shemej yako alete ile canter ubebe unavyovihitaji nikusindikize nyumban..![]()
![]()
![]()
![]()



seriously?? Pigania hilo pendo arifu..Mambo mazuri ni lazima upiganieMaybe i am not worth it...seriously?? Pigania hilo pendo arifu..Mambo mazuri ni lazima upiganie



Hahaha aisee, sasa we ukisusa wenzio wanakula bobNile nini.. Uniue kabisa upate kujitawala ndan ya nyumba yangu eeh.. Kula na bwana wako Quigley kama kula mali..
"Eti njoo ule" loh hata haya huna mtoto wa kike, nilipokutoa kwa kina sczny, mapaka leo hii.. Kweli prof j aliimba, hakukosea.
Hongera kwa 97k, ulimpiga nan tobo aliyekuepo kilingeni?97 K nimeivizia
Sasa ngoja ninywe tu togwa
Ahsanteni kwa kunisindikiza
![]()
![]()
![]()
.........

Naona mapenzi yenu yapo kisayansi kabisaWhy.. Mbona mimi umenifanyia hvyo!!?
3rd newtons law of motion
"Action n reaction are equal but opposite in direction"
Hope umeelewa.
Kwan umefanyaje shem lake? Em niambie ukweli ujue nnaweza nikamrudisha huyu jamaaMaybe i am not worth it...![]()
Haya nmejisahau..Kuna siku tu utajisahau utaturushia sura yako ya kweli...kijana wa mujini....![]()
Acha mboyoyo weweUnalisifia tapeli
![]()
![]()
![]()
![]()
.........