Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Sio sawa na kukaa bure mkuuPole ndugu... Ubize unalipa lakin![]()
![]()
Sio sawa na kukaa bure mkuuPole ndugu... Ubize unalipa lakin![]()
![]()
Uheheni vp mkuu
Kama kawaida mkuu, ilibidi niwe nishaondoka sema kuna changamoto zilitokeaUheheni vp mkuu
Ndivyo zilivyo kaz za kutumia akiliKama kawaida mkuu, ilibidi niwe nishaondoka sema kuna changamoto zilitokea
Ndio hivyo mkuuNdivyo zilivyo kaz za kutumia akili
Uwe mpole kila kitu kina wakati uliokubalikaNdio hivyo mkuu
Fanya hivyo basiNishafanya vyote hivyo lakin bado tu mpka nikafikiri labda niwacheki mods
Yale mambo hayajaanza kusumbua kichwa?Ndio hivyo mkuu
Em nikumbushe mkuu mana mambo nliyonayo ni mengiYale mambo hayajaanza kusumbua kichwa?
Ohooo tutakumbushana kwa callEm nikumbushe mkuu mana mambo nliyonayo ni mengi
Poa poaOhooo tutakumbushana kwa call
Mi nadhani ulikuwa unapata tatizo hilo kipindi cha kabla ya ukuta. Ila baada ya tarehe 1 kupita rudia kuclear chat na kila kitu kitakuwa alright.Em nikumbushe mkuu mana mambo nliyonayo ni mengi
Yuko wapi Likofia likubwa?Safi Nyamipua![]()
Yupo hapahapa KFYuko wapi Likofia likubwa?
Nzuri ndugu yangu, vip pande hizoHabari shululu
Huku njema sana shululu japo kuna kupatwa kwa baridi sanaNzuri ndugu yangu, vip pande hizo