Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Hata mi nashangaa! zingine kama zimechanika hiviDuh! Afu mbona kama zimeungua kimtindo?
Hata mi nashangaa! zingine kama zimechanika hiviDuh! Afu mbona kama zimeungua kimtindo?
Mimi simchukii huyu mzee, kwanza kabisa sijui kuchukia mtu, why nimchukie, ila mimi namuona punguan mwa mambo yake anayoyafanya, mara kaiba picha ya misos kaposti anakula, mara afanye hiv huku anajichekesha, hahahaa.. U know, mara abishane na watoto wadogo.. Mtu fulan anaetenda mambo kinyume na anavyotakiwa.Dizain kama yule mwanamke aliyezaa naye anamchafua mitandaoni na haelewi kwann wakati walishaachana anasema hiyo pia ni source ya watu kumchukia
A perfect match perhaps.Proud of you too my love..![]()
Kwa kwel huyu anafaa kuwa dj wa KF, kanikosha..Uwiiiii Cobblepots utaniua mimi jamani....hapo naona kitu cha Boys ii men- dreams daah my fav asee....kwa kifupi hizo ni sindano kali sana na nazielewa vibaya mnooooo.....!!!
Thanks a lot!! Makaveli vipi hapo unazionaje hizo??
KAPUKU'S WEEKEND TOP 10 VIBES:
1. Ginuwine- Love you more everyday
2. Boys to men- Dreams
3. Miss Jackson- Outkast
4. Gangster Pardise- Coolio
5. Ready or not- Fugees
6. Twisted0Keith Sweat
7. No Scrubs- TLC
8. Viva Forever- Spice Girls
9. Thank you- Dido
10. Life- Des'ree
CC: Sweetiepie , Jimena , Bitoz , briz, shululu , werrason
Hivi huyo jamaa ana umri gan?Vitendo vyake na umri wake(50+) haviendani
Hiki ndo kichekesho
![]()
![]()
![]()
...........
Usingizi mwnana kichwa umekilaza kifuan mwangu, nachezea nywele zako, nikikupapas kwa mugongo, usingiz ukolee, ukisklza track yako tamu tamu..Huwa nikimsikiliza Dido na hii Track yake ya thank you napata usingizi murua kabisaa.![]()
Kwakweli Dj katishaa mbayaaaa nitajie track zako hapo kama 3 hivi unazozikubali.Kwa kwel huyu anafaa kuwa dj wa KF, kanikosha..
Hizi nyimbo nimeziskia nikiwa kwa shululu, zikanifanya nikumisi ghafla, nmeaga bila kupenda. Dj
Yani not perherps... that's how it is....A perfect match perhaps.


Mimi simchukii huyu mzee, kwanza kabisa sijui kuchukia mtu, why nimchukie, ila mimi namuona punguan mwa mambo yake anayoyafanya, mara kaiba picha ya misos kaposti anakula, mara afanye hiv huku anajichekesha, hahahaa.. U know, mara abishane na watoto wadogo.. Mtu fulan anaetenda mambo kinyume na anavyotakiwa.





Hiyo ngoma inagusa nerves za hisia mpaka mwisho asee, i wish Jimena wangu angekuepo hapa tuskize nae hizi ngoma pamojaSpice girls- Viva Forever my inspirational song aisee....huu usipokuwa makin unaweza jikuta unatoa chozi.![]()
Yeah.. Kuna viumbe wako kwenye maumbile fulani ila akili, maamuz, utendaji ni vya upande wa pili kabisa..Haha umetisha sana.. So anafikiria kiume?
Uko juuMhhhh sijapractice tangu 2012 nilivyowachora wazazi wangu nika design flame nikaziweka picha.![]()
Umeongea point...mimi pia huwa siuumizi ubongo kumchukia mtu...haswaa akiwa hana effect yoyote katika maisha yangu...mbaya zaidi nikiwa simfahamu in reality. Ila nadhan anafanya yale ili kuboost ile brog yake si unajua analipwa pesa mingi mingiMimi simchukii huyu mzee, kwanza kabisa sijui kuchukia mtu, why nimchukie, ila mimi namuona punguan mwa mambo yake anayoyafanya, mara kaiba picha ya misos kaposti anakula, mara afanye hiv huku anajichekesha, hahahaa.. U know, mara abishane na watoto wadogo.. Mtu fulan anaetenda mambo kinyume na anavyotakiwa.
Nice!! Mi nataka nimchore Jimena wanguMhhhh sijapractice tangu 2012 nilivyowachora wazazi wangu nika design flame nikaziweka picha.![]()


japo sijapractise kitambo lakin hiyo haiwezi kunishindaHata huwa ananishangaza sana na vituko vyake,mara aende travertine kwenye taarabuMimi simchukii huyu mzee, kwanza kabisa sijui kuchukia mtu, why nimchukie, ila mimi namuona punguan mwa mambo yake anayoyafanya, mara kaiba picha ya misos kaposti anakula, mara afanye hiv huku anajichekesha, hahahaa.. U know, mara abishane na watoto wadogo.. Mtu fulan anaetenda mambo kinyume na anavyotakiwa.
Cwt"p" ntakutumia picha yangu unichore best..Mhhhh sijapractice tangu 2012 nilivyowachora wazazi wangu nika design flame nikaziweka picha.![]()