Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Weeeeeeweeeeeeee kha!!Mimi ni teja nashinda Beach Mabibo
Mchafumchafu km kambale
Elimu Std 5
..............
Weeeeeeweeeeeeee kha!!Mimi ni teja nashinda Beach Mabibo
Mchafumchafu km kambale
Elimu Std 5
..............
Tugawane jiraniView attachment 392354 Pale unaposikia Magu atabadili noti ya elfu 10, full kuzifukua kutoka mafichoni...![]()
Kwann hamumpend Le babaz jaman? ujue nilisikiliza kipind alihojiwa na Zamaradi mtetema yani hadi huruma
Ulimi hauna mfupaWell....nisamehe hubby ake jaman, jiran kanikaa sana mdomoni pia leo nna tatizo la ku Mis-quote sijui ni nini hiki...![]()
Kwa kubambia bambia hao Jamaa ni kiboko
Kaishatoka, kaniambia hajiskii vizur ndio naenda kumjulia hali..Msalimie sana Mr. Shululu...kwan ashatoka job mida hii?
Piga story tani yako we niambie tu nikupikie nini..kesho ndo tutapika wote unaonaje hubby?![]()
Alisemaje, kwa kifupi tuKwann hamumpend Le babaz jaman? ujue nilisikiliza kipind alihojiwa na Zamaradi mtetema yani hadi huruma
Vitendo vyake na umri wake(50+) haviendaniKwann hamumpend Le babaz jaman? ujue nilisikiliza kipind alihojiwa na Zamaradi mtetema yani hadi huruma
Ahsante sana ndugu yangu.. Vip hali yako kaka!!?Karibu jirani
Niko poa jirani yanguAhsante sana ndugu yangu.. Vip hali yako kaka!!?
Watu na shemej zao bhana..Huna haja ya kulipia we ni shem bhaana,nimemtext tayar ila nahisi amezima data.
Vinakufa kweli si mchezo..Kawaida
Yangu Primary nilikuwa namsaidia ticha kuchora mfano ramani ubaoni n.k
Bongo vipaji vinajifia tu
..............
Nmemkuta, anakusalimia..Love wange umemuona Shululu lakini?
Hii KF kumbukaNingewaonesha katuni na picha tatizo zina JINA LANGU hivyo si unajua JF watu hatutaki kujulikana
.........
Usijali mpenz..Well....nisamehe hubby ake jaman, jiran kanikaa sana mdomoni pia leo nna tatizo la ku Mis-quote sijui ni nini hiki...![]()
KAPUKU'S WEEKEND TOP 10 VIBES:
1. Ginuwine- Love you more everyday
2. Boys to men- Dreams
3. Miss Jackson- Outkast
4. Gangster Pardise- Coolio
5. Ready or not- Fugees
6. Twisted0Keith Sweat
7. No Scrubs- TLC
8. Viva Forever- Spice Girls
9. Thank you- Dido
10. Life- Des'ree
CC: Sweetiepie , Jimena , Bitoz , briz, shululu , werrason
