Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jirani ni kwel kwenye movir tunadanganywa maana mi kuna mmoja nilimfahamu alishiriki hiyo vita pia...alinambia wenzake wote walikufa vibaya sana na yeye alipugwa risasi ya bega na akachomwa visu vya kifua sana tu ila siku yake haikufika..yeye mwenyewe naye kafa mwaka jana sema alikuwa ameshaachana na mambo ya Jeshi! sema alisema kuna poison wa Vietnam walikuwa Wanawatega wao Wamarekan sasa ilikuwa inaua mwili taratibu...akasema jamaa wa Vietnam walikuwa wana technics sana sio watu wa kuchezewa.
Jirani tena..
 
Very true, hata mi primary nlikua nachora sana na kuna kipindi nilienda mpaka mashindano ya kimkoa judge alikuaga masoud kipanya lakin baadae nlijikuta nimeacha baada ya kukomaliwa niconcentrate na shule
Ndo tofauti yetu na wazungu
Mi pia noma kwa kuchekesha vilevile km hapa KF unavyoona
............
 
Very true, hata mi primary nlikua nachora sana na kuna kipindi nilienda mpaka mashindano ya kimkoa judge alikuaga masoud kipanya lakin baadae nlijikuta nimeacha baada ya kukomaliwa niconcentrate na shule
Nakumbuka niko Primary nikamchora Mkapa katika mashindano ya Kiwi...hata sijui iliishia wapi wakachukua Art yetu...feedback No ila nikaja kuskia tulifanya vzuri sema maticha walifanya fitna.
 
1472823071187.jpg
Pale unaposikia Magu atabadili noti ya elfu 10, full kuzifukua kutoka mafichoni...
 
Kipindi cha nyerere alikua anawaweza wanaoficha hela kwa kuwa ilikua ni ngumu kubadilisha hela mitaani ilikua ni benki kuu pekee lakin sa ivi sidhani kama kuna anayeficha hela bila kuzibadili kwanza na hata hivyo ma-bereau de change yamejaa kibao... Sio kitu kirahisi sana kuchapisha fedha mpya kama mkulu anavyosema hasa nyakati hizi
Hapo muheshimiwa amekurupuka..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom