Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mambe mengi mme wangu hadi basi, poa tufanye twende kwa wakwe nimewamiss sana kwakweli...kuhusu mama jana tu nimeongea nae jamani lol...unajua anakupenda sana nadhani alikuwa excited tu kuongea na wewe.
Alikuwa anatania tuu..

Sasa acha niende kwa jirani yetu mr. Shululu, ila ukitaka kuandaa chakula cha jion, utanishtua tuje kupika mama watoto.. Byee cwt.

Kiss kwenye paji la uso.
 
Alikuwa anatania tuu..

Sasa acha niende kwa jirani yetu mr. Shululu, ila ukitaka kuandaa chakula cha jion, utanishtua tuje kupika mama watoto.. Byee cwt.

Kiss kwenye paji la uso.
Msalimie sana Mr. Shululu...kwan ashatoka job mida hii?
Piga story tani yako we niambie tu nikupikie nini..kesho ndo tutapika wote unaonaje hubby?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom