Itakua hela za kuhamia zimeishia kwenye kuuvunja ukutaBongoland everything is Polifix
Now ni Sept 2 nani keshahamia Dom
![]()
![]()
![]()
..........



Itakua hela za kuhamia zimeishia kwenye kuuvunja ukuta![]()
Nafaham hiyo technic yake sio wala nini...Lakin inaweza isisaidie sana kuwakamata hao anaowadhania
SanaaNzuri
........
Mi hata sijajua tunakoelekea.. Ngoja tuone
Tunaelekea Chato kwa ndegeMi hata sijajua tunakoelekea.. Ngoja tuone
Hujamuona pacha wako mchana huu? Nimemmiss kinyamaNafaham hiyo technic yake sio wala nini...
Kuuona tu au kusikia sijawahi achana na suala la kujua au kutojua.
Asante kwa Did you know..

Pesa hakuna hilo mbona halifichikiItakua hela za kuhamia zimeishia kwenye kuuvunja ukuta![]()
Sijamuona ngoja nimtafute aiseeHujamuona pacha wako mchana huu? Nimemmiss kinyama
Yaani wewe Briz humfaham huyu binadamu kweli anaweza kushtukiza ukabaki mdomo wazi...si unaona mambo mengi yanayofanyika ni by surprise tu au huoni shem lake?Hawezi, lazima atoe notes kwenye gazeti la serikali na atoe muda maalumu ya matumizi ya fedha kuondoka kwenye mzunguko,wakati huo na pesa mpya ikiwa kwenye mzunguko
Ni shida... Naskia hazina nako hela haitulii inapita kama kwenye pipelinePesa hakuna hilo mbona halifichiki
Hii jamii inatudanganya sana movie zao...mtu kapigwa ngumi hata kifuani haijagusa keshaanguka chini..mambo gani hayo

Jamani my childhood favourite Cartoon Kimba the white Lion!!


, kumbe hawa Lion King waliiga?!..sikugundua hilo aisee.