Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU NO 1#

Ni muhimu madeni yalipwe lakini si lazima yalipwe kwa garama kubwa inayosababisha njaa kwa wananchi,

Dunia ni lazima iwe na uwazi wenye misingi ya demokrasia katika kusaka maelewano yatakayozaa muundo wa ulipaji wa madeni ya kimataifa

Haya yalisemwa na Cristina Elisabet Fernandez de Kirchner, aliyekuwa Rais wa Argentina kuanzia mwaka 2007 hadi 2015

Mwana mama huyo alizaliwa Feb 19,1953

Ni mjane wa Rais wa zamani wa Argentina, Nestor Kirchner na ni mwanamke wa pili kushika wadhifa wa Rais Argentina, akitanguliwa na Isabel Martinez de Peron, aliyeshika wadhifa huo mwaka 1974 hadi 1976
Maneno mujarab kabisa, huyu mama lazima alikua ni kichwa kiuchumi
 
Kipindi cha nyerere alikua anawaweza wanaoficha hela kwa kuwa ilikua ni ngumu kubadilisha hela mitaani ilikua ni benki kuu pekee lakin sa ivi sidhani kama kuna anayeficha hela bila kuzibadili kwanza na hata hivyo ma-bereau de change yamejaa kibao... Sio kitu kirahisi sana kuchapisha fedha mpya kama mkulu anavyosema hasa nyakati hizi
Bongoland everything is Polifix
Now ni Sept 2 nani keshahamia Dom

..........
 
1472814661897.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom