Mpaka hapo basi sina la ziada kutoka katika magazeti ikiwa basi ni kumbukumbu maalumu ya Szczesny Carenza
Niite Jimena Jimenes na muwe na siku njema yenye mafanikio tele
So guys thank u , ur the best people ever , toka nilianza hii segment mme i sapot sana nashukuru endeleeni kusapotiana na penda mfike hata 10000k mkiwa pamoja hapa kapuku forum
Kumi kali za mwisho zme letwa kwenu na mwanzilshi wake anaye kwenda ku retire
Szczesny Carrenza de la Cas de la Fuma
Si kaz rahisi hii wakuu , but support yenu na upendo wenu vili nifanya kila sku niumize kichwa na nihangaike hapa kuleta mambo
Kwa herini sana keep t cool keep t real
Huyu binamu ananipa mashaka, kuna kauli alikuwa akiziongea kabla ya sept mosi, mara anatoa urithi kabla ya siku ya ukuta.
Na leo 2 days before hiyo ck anatuaga???????
Jamn huyu kaka afunguke labda kuna kitu nyuma ya pazia...tuko tayari kuwa naye bega kwa bega naye hata kule pm.
Naunga dots tangu last week kuna namna alikuwa akopost akiaina na leo ndo kamalizia hivi