Hakika kuagana ni huzuni,Leo imekuwa siku ya majonzi sana jamani
Pamoja na yote bado unajukumu la kusimamia huu uzi, ongeza ubunifu, manjonjo, na pia nafurahi kuwa ulipoona wengine kama tunaadimika ulikava pengo na kulisongesha, jepo una vijembe havina madhara maadam tumefahamiana na shabaha yetu ni kuudumisha mshikamano na kuufanya uzi huu uwe na manufaa.Ht mimi nina majukumu sana tu sema nahisi nina deni km mwanzilishi wa Ukapuku
................
Shida yako huwa unageuka na kutuona mazobaNaruhusiwa kubeba mikoba ya Carrenza? Ila in a serious note. Mambo chokonozi ya kilimwengu na sayansi lakini kwa mvuto sana. Tulipe jukwaa Joho la usomi kidogo. Mnasemaje waungwana? Bitoz, Jimena, Werrason, Mussolin (the dictator) na wengineo mnasemaje?
Naweza kuanza kesho na "beginning of time?"
Pole inaeleweka wote tumelegeaZile nyimbo za Michael Jackson nilizoahidi ningeziweka Leo naomba mnisamehe zitakuwa kesho.
Asanteni na usiku mwema wote
Pole inaeleweka wote tumelegea
mtu humjui lakini hayo majonzi utafikiri ni ndugu yako amekwambia anaenda tora bora kumsaka kiongozi wa al qaeda!
Acha ujinga bhanamtu humjui lakini hayo majonzi utafikiri ni ndugu yako amekwambia anaenda tora bora kumsaka kiongozi wa al qaeda!

....nshaachaAcha ujinga bhana![]()
![]()
![]()

Msome jamaa vizuri...anasema anaishi maisha ya upweke sana....nshaacha![]()
Nimeona ila sijamwelewa, JJ kamquote hajajibuMsome jamaa vizuri...anasema anaishi maisha ya upweke sana
Any way kila kheri kwakeNimeona ila sijamwelewa, JJ kamquote hajajibu
What is he up to? ....nawaza mpaka naona bora asingeaga....ameniacha na majonzi plus maswali juuAny way kila kheri kwake
Najua ataendelea kusoma uzi huu, ameacha maswali kuliko majibu.What is he up to? ....nawaza mpaka naona bora asingeaga....ameniacha na majonzi plus maswali juu
Very clean, ....anaejua saikolojiaNajua ataendelea kusoma uzi huu, ameacha maswali kuliko majibu.
Je! Kuna nini nyuma yake?
All in all alikuwa aina ya mtu wa mfano wa kuigwa
Mi hadi nimeshangaa jamani, yani mtu unaumia kiukweli ukweli wakati hata hujawahi kumuona wala kusikia sauti yakemtu humjui lakini hayo majonzi utafikiri ni ndugu yako amekwambia anaenda tora bora kumsaka kiongozi wa al qaeda!
KaribuMorning all
Magazeti ya Leo yanawajia kama ifuatavyo