Makapuku Forum

Makapuku Forum

Pamoja na yote bado unajukumu la kusimamia huu uzi, ongeza ubunifu, manjonjo, na pia nafurahi kuwa ulipoona wengine kama tunaadimika ulikava pengo na kulisongesha, jepo una vijembe havina madhara maadam tumefahamiana na shabaha yetu ni kuudumisha mshikamano na kuufanya uzi huu uwe na manufaa.
Kf ni zaidi ya chitchat kwani sasa kuna mambo mengi ya kuelimisha na kuburudisha...mkuu jitahidi usikate tamaaa.
Usisahau kuwa tofauti na changamoto ni sehemu ya kuboresha umoja wetu.
Jipe moyo
Simama kiume
Ukijua kaz hii yakuhusu
Vijembe vimesaidia kuwanyoosha "wazinguaji"
Jambilo ndo anaongoza kwa kupigwa vijembe


.................
 
Vijembe vimesaidia kuwanyoosha "wazinguaji"
Jambilo ndo anaongoza kwa kupigwa vijembe


.................

By the way hajali vijembe kwani anajua alifanyalo hapa,
Pia alishafaham tabia ya prezdaa haimpi shida,
Na alipogundua kuwa presdaa ni mnyaki haimpi shda tena kwani anawafaham wako ka wahaya vile kwa...we lete vijembe tulisongeshe
Unashobo wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom